Hii awamu sio ya wananchi wa kawaida kabisa

Hii awamu sio ya wananchi wa kawaida kabisa

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will be short

Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana.

Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu.

Hii serikali ya sasa sio yetu.

Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii. Isije kutokea tena.
 
Mkipewe ubwabwa na maharage, kapero na Tshirt wote mnakata viuno kusema CCM mbele kwa mbele.

Na hata mkiamua tofauti, ikiwa katiba ndio hii hii, Chura Kiziwi anapita mchana kweupe kwa msaada wa PoliCCM

CCM ni laana na jinamizi litakaloishi kwa muda mrefu sana hapa Tanzania.
 
I will be short

Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini . Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana

Tukutane 2025 , watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu .

Hii serikali ya sasa sio yetu .

Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii . Isije kutokea tena
Hii ni serikali ya hovyo imejaa anasa tupu
 
Mkipewe ubwabwa na maharage, kapero na Tshirt wote mnakata viuno kusema CCM mbele kwa mbele.

Na hata mkiamua tofauti, ikiwa katiba ndio hii hii, Chura Kiziwi anapita mchana kweupe kwa msaada wa PoliCCM

CCM ni laana na jinamizi litakaloishi kwa muda mrefu sana hapa Tanzania.
Ile Tume fake ya uchaguzi inajua mshindi ni nani mpk dak hii
 
Mkipewe ubwabwa na maharage, kapero na Tshirt wote mnakata viuno kusema CCM mbele kwa mbele.

Na hata mkiamua tofauti, ikiwa katiba ndio hii hii, Chura Kiziwi anapita mchana kweupe kwa msaada wa PoliCCM

CCM ni laana na jinamizi litakaloishi kwa muda mrefu sana hapa Tanzania.
Every thing has its ending swala la muda tu . Na huo muda unakaribia
 
Tunahitaji kutengeneza muundo imara wa uongozi kama taifa, wachina walifanya hivyo

We need leadership transformation
 
CHURA na watu wake wananemeka na Tanganyika yetu.
Watanganyika wakichapika kitaa n kijijini.
All the best
anajihisi kama malkia sasa hivi. Anatamani hata ukoo wake wote upachike madarakani. Kanogewa na neema za Tanganyika kiasi cha kuhisi kama hakuna mauti.
 
I will be short

Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini . Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana

Tukutane 2025 , watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu .

Hii serikali ya sasa sio yetu .

Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii . Isije kutokea tena
Ni serikali ya ccm na wanaccm wewe ulotaka iwe ya nani?
 
Hakuna serikali iliyokuwa "yenu"!
Serikali zote zililalamikakiwa na wanancho!
Awamu ya :
I. Umasikini wa kutupwa, njaa na vita
II. Rushwa
III. Uuzwaji holela wa mashirika ya umma
IV. Ushikahi
IV. Dhulma na Ubabe!

Hitimisho! Create your own government! Hakuna serikali itakayojuletea pesa mfukoni mwako!
 
Fanya kazi mkuu....Acha kulia lia..

Kumbuka nguvu ya mamba ni maji....
 
bad governance goes a long way . Sema ukiwa kwa system uwezi ona shida ukitoka ndo dunia ina kufunza .

This government ni failure inatutesa sana wananchi . Muda wa kuswitch ni soon tu
 
Fanya kazi mkuu....Acha kulia lia..

Kumbuka nguvu ya mamba ni maji....
Kazi ndo hizo mtu kanipiga pini 4 months mqmbo yangu yapo pending sababu za kijinga . Nafanya kazi gani sasa ! My part is done ila government part hadi ni mjue mtu
 
I will be short

Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana.

Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu.

Hii serikali ya sasa sio yetu.

Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii. Isije kutokea tena.
Kuna siku utaomba serikali ikusaidie kupika ugali.

Kulikuwa na serikali ya hovyo kabla ya uhuru? Mbona baba yako alitoboa ki maisha. Serikali haiwezi kukufanyia kila kitu. Changamsha kichwa, baba yako ameacha mashamba mazuri ya na rutuba, wewe umekalia kukaa Dar halafu gengeni ukanunua mazao yaliyotoka kijijini kwenu, wakati hiyo ili kuwa fursa ya wewe kurudi kijijini ukalima na ukawa unauza.

Unasubiri nafasi ya ajira wakati walioajiriwa ndio kwanza wana miaka 25 kiumri, watastaafu lini? Kila sehemu ni pomoni mpaka bhujee
 
Back
Top Bottom