Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Hii ni serikali ya hovyo imejaa anasa tupuI will be short
Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini . Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana
Tukutane 2025 , watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu .
Hii serikali ya sasa sio yetu .
Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii . Isije kutokea tena
Ile Tume fake ya uchaguzi inajua mshindi ni nani mpk dak hiiMkipewe ubwabwa na maharage, kapero na Tshirt wote mnakata viuno kusema CCM mbele kwa mbele.
Na hata mkiamua tofauti, ikiwa katiba ndio hii hii, Chura Kiziwi anapita mchana kweupe kwa msaada wa PoliCCM
CCM ni laana na jinamizi litakaloishi kwa muda mrefu sana hapa Tanzania.
Every thing has its ending swala la muda tu . Na huo muda unakaribiaMkipewe ubwabwa na maharage, kapero na Tshirt wote mnakata viuno kusema CCM mbele kwa mbele.
Na hata mkiamua tofauti, ikiwa katiba ndio hii hii, Chura Kiziwi anapita mchana kweupe kwa msaada wa PoliCCM
CCM ni laana na jinamizi litakaloishi kwa muda mrefu sana hapa Tanzania.
Sure ila mwaka ujao mambo yatakuwa magumu sana . We wait mungu awezi watupa watu wake . The universe has the way ila mwakani kazi wanayo unless other wise . Tuna grind sanaIle Tume fake ya uchaguzi inajua mshindi ni nani mpk dak hii
Hakuna loloteSure ila mwaka ujao mambo yatakuwa magumu sana . We wait mungu awezi watupa watu wake . The universe has the way ila mwakani ccm kazi wanayo
anajihisi kama malkia sasa hivi. Anatamani hata ukoo wake wote upachike madarakani. Kanogewa na neema za Tanganyika kiasi cha kuhisi kama hakuna mauti.CHURA na watu wake wananemeka na Tanganyika yetu.
Watanganyika wakichapika kitaa n kijijini.
All the best
Ni serikali ya ccm na wanaccm wewe ulotaka iwe ya nani?I will be short
Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini . Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana
Tukutane 2025 , watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu .
Hii serikali ya sasa sio yetu .
Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii . Isije kutokea tena
bad governance goes a long way . Sema ukiwa kwa system uwezi ona shida ukitoka ndo dunia ina kufunza .Hakuna serikali iliyokuwa "yenu"!
Serikali zote zililalamikakiwa na wanancho!
Awamu ya :
I. Umasikini wa kutupwa, njaa na vita
II. Rushwa
III. Uuzwaji holela wa mashirika ya umma
IV. Ushikahi
IV. Dhulma na Ubabe!
Hitimisho! Create your own government! Hakuna serikali itakayojuletea pesa mfukoni mwako!
Kazi ndo hizo mtu kanipiga pini 4 months mqmbo yangu yapo pending sababu za kijinga . Nafanya kazi gani sasa ! My part is done ila government part hadi ni mjue mtuFanya kazi mkuu....Acha kulia lia..
Kumbuka nguvu ya mamba ni maji....
Kuna siku utaomba serikali ikusaidie kupika ugali.I will be short
Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana.
Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu.
Hii serikali ya sasa sio yetu.
Ie 2025 mungu atuepushe na serikali kama hii. Isije kutokea tena.