Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa.
Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana hela yule kapuku.
Nawasiliasha.
NB; Yule mzee anayekujaga na Ford Ranger alafu anawakimbia mabodigadi wake, hela zishaisha na amechomeshwa huko.