Hii baa ya Maikoz Mbweni, usipokuja na gari jeusi la tinted hadi wahudunu wanakuona kama kachumbali tu

Inferiority Complex at its peak πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .

Wewe kama kapuku basi ni kapuku tu. Usitake kunyenyekewa halafu hata tip hutoi.
 
Ngoja leo nivae ndala zangu nipite hapo nijionee yatakayojiri..

Wahudumu wanapaswa kuwa neutral na kutoa huduma bora kwa kila mteja.

Matter of fact, watu wa IST na boda tunaongoza kutoa tips za buku mbili mbili kuliko wale wabahili wa Rovers!
 
Hapo inabidi tuone kama hamna wenye uhusiano na kule ununio.
 
Nimepata hamu ya ka nyama choma na ka peps kabaridiii...
 
Yan umekataliwa hadi na Baamedi ...Apo sio size yako umeingia kwa Wala Keki ya Taifa hili ww sogea Boko apo utapata viwanja vya size yako bia afu 2.
 
Wahudumu hao watauona ufalme wa mbingu kwa shida sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…