Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
1757593470019.png
 
Wanawake wana ujinga sana. hiyo budget unakuta anambmbika mwanaume wake akipewa anaenda kununua nguo ya buku kumi karume, mamaee
 
Kama ipo kwenye bajeti sawa, tofauti na hapo ni muendelezo wa kufuata mkumbo
 
Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
Mkuu haya maisha sio Kila kitu cha kuchukulia serious kiasi hicho.
Huenda wana pesa,au akadanga akazipata kwa wanaume wapumbavu kama Mimi ambao tuna ndoa ila Bado tunahangaika na vibinti.

All in all asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
Huenda akawa mfano kwa wenzake baadae kuwashauri wasifanye hivyo kama hawana kipato cha uhakika
 
Naenda kuchukua jiko, nawashukuru sana wakwe zangu kwa kunisomeshea mke, najua atapata ajira maisha yangu ya kuendesha bodaboda yanaenda kubadilika.
 
Back
Top Bottom