Hii barabara ya Kenya yasababisha Twitter kuwake moto baina ya raia wa Zibambwe - MATAGA vs upinzani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga.
Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani

FKp8RfMXEAE5PLe

Kitendo cha kufungua tu nikakutana na hii kabang 😂😂😂😂

Unanishauri nikomee hapa au niscroll down? 😅😅
 
Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga.
Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani

FKp8RfMXEAE5PLe

Hili dubwasha sifichi,nalipenda. Natamani lijengwe moja kutoka Barack Obama drive likatue Kigamboni
 
Kwa hii kenya mmetisha yafaa kuja fanyia utalii nyie.

Sisi huku gonjera nyingi, miradi inachelewesha hadi karibu na chaguzi
 
Hili dubwasha sifichi,nalipenda. Natamani lijengwe moja kutoka Barack Obama drive likatue Kigamboni

Nyie mnahitaji moja pale Magomeni lije kushukia Fire.
 
Nimesikia kuna mpango wa kufanya hivyo, it's only 390m though, not even half of Kigamboni bridge.
 
Hili dubwasha sifichi,nalipenda. Natamani lijengwe moja kutoka Barack Obama drive likatue Kigamboni

Nyie mnahitaji moja pale Magomeni lije kushukia Fire.
 
Aha! Kumbe wewe wa kishua...watu wa Masaki....
Kuna hoja nyingi naona zinaibuka kwanini wala bata mjengewe daraja la kuwawahisha kwenda kupunga upepo ilhali walalahoi wa Tandale na kwingine wameachwa wanabanana na kunukiana shombo.

Halafu naona shangazi kawasuta

FKhIn9wXMAIJfx1
Hapana, mimi wa uswazi hapo naenda lindoni kwa Muhindi Masaki.
 
I hate Kenyans, ni wachafu sana. Ila dada zao wakishoboka huwa nawapuliza tu, Ila wachafu
 
Back
Top Bottom