Kitendo cha kufungua tu nikakutana na hii kabang 😂😂😂😂Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga.
Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani
Afadhali umempa za uso huyo nyang'au.Kitendo cha kufungua tu nikakutana na hii kabang 😂😂😂😂
Unanishauri nikomee hapa au niscroll down? 😅😅
Hili dubwasha sifichi,nalipenda. Natamani lijengwe moja kutoka Barack Obama drive likatue KigamboniJameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga.
Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani
Msumari wa moto huu. Tena 6inMeanwhile my route from home to work, passed over these two masterpieces!
View attachment 2107459View attachment 2107459
View attachment 2107463View attachment 2107464
Nimesikia kuna mpango wa kufanya hivyo, it's only 390m though, not even half of Kigamboni bridge.Nyie mnahitaji moja pale Magomeni lije kushukia Fire.
Meanwhile my route from home to work, passed over these two masterpieces!
View attachment 2107459View attachment 2107459
View attachment 2107463View attachment 2107464
Hapana, mimi wa uswazi hapo naenda lindoni kwa Muhindi Masaki.Aha! Kumbe wewe wa kishua...watu wa Masaki....
Kuna hoja nyingi naona zinaibuka kwanini wala bata mjengewe daraja la kuwawahisha kwenda kupunga upepo ilhali walalahoi wa Tandale na kwingine wameachwa wanabanana na kunukiana shombo.
Halafu naona shangazi kawasuta