Sae to uyole ni distance fupi tu Ile milima inazalish barid sanaOya kuna baridi inapigaga pale sae sijawai ona ....ile miaka ya o-level niliyokaa pale ni kama miaka kumi.
Ikifika asubuhi watu mnatoa moshi tu kama wote mnavuta sigara
Hapo nimevaa shart tu, hakuna cha koti wala nini!!... Kuishi kwenye baridi raha sana.. 😋😋😋Aende Makete, Ngoma inasoma 7°c
We jamaaa yaani huko nyanda za juu kusini ni balaaaLeo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.
Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114
Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. 😀😀😀😀
Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.😀😀😀
Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Kuweni makini na majiko ya mkaa ndani ya nyumba. Mtapoteza maisha kizembeLeo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.
Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114
Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. 😀😀😀😀
Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.😀😀😀
Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Uko makete mkuu au maana huo ukungu hapo nyuma si mchezoooHapo nimevaa shart tu, hakuna cha koti wala nini!!... Kuishi kwenye baridi raha sana.. 😋😋😋
View attachment 3117152
Uko makete mkuu au maana huo ukungu hapo nyuma si mchezooooHapo nimevaa shart tu, hakuna cha koti wala nini!!... Kuishi kwenye baridi raha sana.. 😋😋😋
View attachment 3117152
Baridi la Iringa ni kawaida sana sema huwa nina enjoi sana unakula zako Bia na unakunywa nyama tu.Iringa kuna baridi ya kawaida sana..
Tatizo nyinyi wavulana wa Dasalaamu mayai mayai sana..
watu wanaozaliwa na kukulia kwenye baridi,uwezo wa akili zao ni mkubwa kuliko waliozaliwa kwenye joto na kukulia kwenye joto.
Mkuu hii picha ulipiga Lugoda Estate na hiyo barabara ni njia ya kwenda Lugoda hospitalHapo nimevaa shart tu, hakuna cha koti wala nini!!... Kuishi kwenye baridi raha sana.. 😋😋😋
View attachment 3117152
Hii kitu ilitaka kuniuwa huko Mbeya, nililala na jiko bahati mbaya katika kujigeuza mto ukadondokea jikoni nikiwa usingizini, kuja kushtuka chumba kimejaa moshi nashindwa kupumuaKuweni makini na majiko ya mkaa ndani ya nyumba. Mtapoteza maisha kizembe
Mkuu si unaona hapo Minimum ni 10°C na Maximum ni 16°C.
Acha blah blah, unazijua nyumba zote huko Kilolo? Ila kuna baridi sana.hiyo nyumba naifahamu luganga hapo ,huyo jamaa ndo umesoma naye
Sidhani kama hii ni kweli.watu wanaozaliwa na kukulia kwenye baridi,uwezo wa akili zao ni mkubwa kuliko waliozaliwa kwenye joto na kukulia kwenye joto.
Pole na hatari sana hiyoHii kitu ilitaka kuniuwa huko Mbeya, nililala na jiko bahati mbaya katika kujigeuza mto ukadondokea jikoni nikiwa usingizini, kuja kushtuka chumba kimejaa moshi nashindwa kupumua
Wapi hii?Hapo nimevaa shart tu, hakuna cha koti wala nini!!... Kuishi kwenye baridi raha sana.. 😋😋😋
View attachment 3117152
Watu mmetembea, kumbe JF ni kubwa. Jamaa hapo juu anadai nyumba ya jamaa yangu anaifahamu kama nawe unavyopafahamu hapo alipopigia picha jamaa.Mkuu hii picha ulipiga Lugoda Estate na hiyo barabara ni njia ya kwenda Lugoda hospital
Hawa jamaa sijui wanakaaje bar usiku na baridi hii. Wanaweza kuwa wanachemsha bia maana dah!!!!Baridi la Iringa ni kawaida sana sema huwa nina enjoi sana unakula zako Bia na unakunywa nyama tu.
Niliwahi fika ikonda hospital mwezi Juni,. Nilivaa Sweta nzito lakini baridi yake ni kama shati tuu,. Sijui huko watu wanaishi vp!!Hapo hakuna baridi njoo makete kama ulaya