Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

Hii baridi la Kilolo sio ya Mchezo

. Mita kadhaa ndo hospital ya Lugoda ilipo.. 😋 😋, kipindi hicho nipo na kampuni ya TNR kama uliwakuta..
IMG_20241009_072727.jpg
@Nyafwili hiyo picha ulipigiq hapa
 
Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.

Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.

Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.

Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114

Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. 😀😀😀😀

Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.😀😀😀

Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Kwenu kabisa wapi? Mana dar watu wake wazaramo...ila kwasasa Dar inakaliwa na watanzania wote..pia maisha popote, baridi au joto watu wanaishi kama ilivyo nchi za Scandinavia.. nk
 
Kwenu kabisa wapi? Mana dar watu wake wazaramo...ila kwasasa Dar inakaliwa na watanzania wote..pia maisha popote, baridi au joto watu wanaishi kama ilivyo nchi za Scandinavia.. nk
Kwetu Singida mkuu. Nimewaachia baridi lao huko maana ni mateso yale.
 
Nenda Maketee ukaonee baridii na [emoji3587], kulee unagandaa kabisaaa.
Chezea weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom