SI KWELI PreGE2025 Hii barua ni ya mchakato wa ugombea Urais imetolewa na CCM

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna kitu. Ukiscan hiyo QR-code ni kitu kingine kabisa.
 
Kuna jamaa wanabishana kwamba A Makalla si mnyiramba ni mgogo.Ndiyo tunamvizia yeye mwenyewe tuchukue jasho lake likapimwe.
Amos Makalla ni mluguru by origin
Mimi kwa majina ya NIDA wananiita Aboubakari Khamis Mkude asili yangu ni Matombo.
 
Kwa hiyo fomu za kugombea hiyo nafasi kwa ccm zitatolewa lini 💩💩
 
Hii barua imetolewa makusudi, ili kipima upepo!! We ulitegemea waseme kweli ni ya yao!!?? Ila ukweli ndio huo Samia out.
Hiyo ni barua ya tarehe 8, wahuni wame edit tarh na content.
Kataa wahuni popote walipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…