fafanua vizuri hapo kwa faida ya wadau my lady,Kwamba mtandao ni kwaajili ya watu fulani, imekuwa anasaš¤£šš misukule mnanimalizaga hata nguvu ya kulumbana na nyinyi
Wakuu,
Hivi mnapitia kama nnachopitia mimi? Kwasababu natumia sana Telegram naazimika kutumia VPN ili mambo yaende baada ya kupigwa pini na wajomba.
Sasa kazi inaanza ukiwasha VPN unaweza kupata telegram lakini mitandao mingine inakata, ila usiku ukiingia mara nyingine (sio mara zote) Telegram inakubali bila VPN huku mitandao mingine unakuwa hutoboi bila VPNš¤£š¤£.
Ni kama vile kuna mtu ako na switch anaichezesha tu anavyotaka, naona hii ya mwaka huu itakuwa kali kuliko ya 2020. Inabidi uwe na VPN kama 3 hivi za akiba. Moja ikizingua unaswitch kwa nyingine, ikizingua unaenda kwa nyingine nayo ikizingua unarudi kwa ya mwanzo mzunguo unaanza upya
Ila mama š¤£š¤£ mitano tena, mama ametufikisha, hana bayaš¤£š¤£ mwaka huu tutaona kila rangi.
NB: Hakikisha hukosi VPN kama tatu kwenye simu, usije kulialia kazi zako haziendi, mara madili yamekwama, misukule ya mama iko bize kuhakikisha wote tunagalala kama Jenista Mhagama![]()
Bado hujatambua kuwa pale TCRA mama kaweka askari wake wa mwamvuli, kupigana juu chini kuhakikisha ni mama tu kwenda mbele? Unamfahamu Mkurugenzi wa TCRA?Wakuu,