chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Kila kitu kina faida kwa muda wake byd zinunuliwe sasaWaache wenye EV wavimbe.
Tena wapo hapo Dar Xi JinpingKila kitu kina faida kwa muda wake byd zinunuliwe sasa
My TzSisiem sio wa kuwaaminiView attachment 3565507
Labda akiweka full tank anatumia mwaka mzima πKwani kujaza full tank ndo tatizo kuisha!! Hilo gari huna wewe
full tank nyingi unakuta lita 40-50.Labda akiweka full tank anatumia mwaka mzima π
trump na netanyahu ndio wamefunga mlango bahari wa hormuz?Hii kitu sio ya kuchukulia kimasikhara, vitu vingi sana vinaenda kupanda bei kisa Trump na Netanyahu.
Hii akiba aliyokuwa anazungumzia ni akiba ya kinyesi au?Sisiem sio wa kuwaaminiView attachment 3565507
Mkuu kuna watu hata kabla ya bei kupanda wao siyo watumiaji sana wa gari,mfano mimi gari kwa wiki naweza tumia siku moja tu..siku zote linapaki tu..ninapo fanyia kazi ni kama mita 200 tu nimefika..Labda akiweka full tank anatumia mwaka mzima π
Aya majitu sio ya kuyaamini kabisa! Kwanza Petro station nyingi ni wao ndio wamilikiSisiem sio wa kuwaaminiView attachment 3565507
labda watu wamehifadhi ndani kwa wingiHii akiba aliyokuwa anazungumzia ni akiba ya kinyesi au?
Hata najua basi ?trump na netanyahu ndio wamefunga mlango bahari wa hormuz?
Uchunguzi ufanyike,iweze ghafla bei ya mafuta itokee tarehe 1/04/2026.Sisiem sio wa kuwaaminiView attachment 3565507