Hii biashara imekaaje wakuu?

Hii biashara imekaaje wakuu?

36must

Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
20
Reaction score
33
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.

Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.

Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
 
Afadhali sisi wa vijijini, hiyo 10M iki invest after one year una faida ya zaidi ya 100%. Karibu kijijini
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.

Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.

Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
 
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.

Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.

Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
Kama yeye kakuambia hivyo na unamuamini mpe
 
Kama Ana mzunguko mkubwa na Hana mtaji anaweza kukulipa ikawa win winsituation...kuwa Malini ikiwezekana nae funga hesabu za phisical money kila baada ya mwezi la.sivyo utalipa hela yako huku mtaji ukiyoyoma Kama desi
 
Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.

Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.

Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
Pesa!!! Umpe mtu, ahangaike aje akupe wewe......achana na hiyo kitu, utapoteza.
 
yeye anazungushia biashara, hafu hiyo pesa inamungiza faida kwake, tena ni yeye ametamka mwenyewe nadhani mzunguko wa miamala ni mkubwa na hana mtaji wa kutosha.
Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.

Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
 
na hii ni kwa maandishi na wawepo mashahidi,
Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.

Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
Kitu cha muhim usimpe mkavu mkavu kuwe na ushahidi yaani muandikiane na pia wawepo mashahidi, incass amekuja kuzingua ntajua vya kufanya kwenye anga za kisheria.
 
Nilisoma nikawa selewii vizurii lakini

Unafanya hiyo biashara ama unatak kuifanya?

Nimewahi kufanya wakala wa simu one year.... Nina ka ujuzi kidogo ukitoa hizo za bank.....

Lakini zote wanalipa kwa commission!

Kingine kitakachofanya upate kamisheni kubwa ni mizunguko wa pesa kwenye kutoa na kuweka kuwe frequently.....

Pia mtaji usisahau kuwa wa kutosha angalau kama sio hivyo kwa kiasi ulicho nacho mizunguko uwe unaeleweka,
Good luck 👍
Blood Ibn Unuq secretarybird
 
mimi nataka nimpe pesa huyo wakala, nipe muongozo mkuu
 
Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.

Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
yaleyale ya mr kuku,manguruwe
 
Nilisoma nikawa selewii vizurii lakini

Unafanya hiyo biashara ama unatak kuifanya?

Nimewahi kufanya wakala wa simu one year.... Nina ka ujuzi kidogo ukitoa hizo za bank.....

Lakini zote wanalipa kwa commission!

Kingine kitakachofanya upate kamisheni kubwa ni mizunguko wa pesa kwenye kutoa na kuweka kuwe frequently.....

Pia mtaji usisahau kuwa wa kutosha angalau kama sio hivyo kwa kiasi ulicho nacho mizunguko uwe unaeleweka,
Good luck 👍
Blood Ibn Unuq secretarybird
Madini.
 
mimi nataka nimpe pesa huyo wakala, nipe muongozo mkuu
Unampa then mgawane faida itakayopatikana kama gawio ?

If yes hio machine inaonyesha miamala iliyofanyika kwa sku nzima (kutoa na kuweka) ?

Kama ni ndiyo ina maana kila siku akupe report ya miamala yote! Period

Tofaut na hapo ni ngumu kujua kama kapata deposit au withdrawal kadhaa kwa siku husika.....

Baada ya hapo..... mkubaliane, kama utachangia cost nyingn kama Kodi au ni mnagawana tuu kwenye hio capital shares

Mpeane contract ikiwezekana mtumie mwanasheria issue za pesa hazina urafiki wala undugu mkitaka ku maintain relationship yenu ..... Mliyonayo.......

Kama ni mkopo zingatia vigezo vya kukopeshana

All the best
 
Back
Top Bottom