Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.
Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.
Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
unamaanisha je mkuu, yupi anapata faida zaida wakala or huyo mwekezaji fedha hapo.hakuna kitu kama hicho kamisheni ni ndogo tu mbona
Kama yeye kakuambia hivyo na unamuamini mpeHabari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.
Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.
Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
Pesa!!! Umpe mtu, ahangaike aje akupe wewe......achana na hiyo kitu, utapoteza.Habari za muda huu,
Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo.
Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na kwa kila millioni kwa mwezi unapata 50k, hii ni kusema ukiweka millioni kumi kwa mwezi utapata laki tano i.e 500k.
Wakala ni muaminifu hana janja njanja, kwa mwenye maoni mtazamo atoe ushauri je hii biashara ni faida au hamna kitu?
yeye anazungushia biashara, hafu hiyo pesa inamungiza faida kwake, tena ni yeye ametamka mwenyewe nadhani mzunguko wa miamala ni mkubwa na hana mtaji wa kutosha.Pesa!!! Umpe mtu, ahangaike aje akupe wewe......achana na hiyo kitu, utapoteza.
mzunguko mkubwa, ana wateja si habaKama Ana mzunguko mkubwa na Hana mtaji anaweza kukulipa ikawa win winsituation...kuwa Malini ikiwezekana nae funga hesabu za phisical money kila baada ya mwezi la.sivyo utalipa hela yako huku mtaji ukiyoyoma Kama desi
Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.yeye anazungushia biashara, hafu hiyo pesa inamungiza faida kwake, tena ni yeye ametamka mwenyewe nadhani mzunguko wa miamala ni mkubwa na hana mtaji wa kutosha.
na hii ni kwa maandishi na wawepo mashahidi,yeye anazungushia biashara, hafu hiyo pesa inamungiza faida kwake, tena ni yeye ametamka mwenyewe nadhani mzunguko wa miamala ni mkubwa na hana mtaji wa kutosha.
Kitu cha muhim usimpe mkavu mkavu kuwe na ushahidi yaani muandikiane na pia wawepo mashahidi, incass amekuja kuzingua ntajua vya kufanya kwenye anga za kisheria.Okay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.
Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
Kamisheni inategemea na mizunguko ya miamala Yako ikiwa mingi unapata faranga mingi piahakuna kitu kama hicho kamisheni ni ndogo tu mbona
mimi nataka nimpe pesa huyo wakala, nipe muongozo mkuuNilisoma nikawa selewii vizurii lakini
Unafanya hiyo biashara ama unatak kuifanya?
Nimewahi kufanya wakala wa simu one year.... Nina ka ujuzi kidogo ukitoa hizo za bank.....
Lakini zote wanalipa kwa commission!
Kingine kitakachofanya upate kamisheni kubwa ni mizunguko wa pesa kwenye kutoa na kuweka kuwe frequently.....
Pia mtaji usisahau kuwa wa kutosha angalau kama sio hivyo kwa kiasi ulicho nacho mizunguko uwe unaeleweka,
Good luck π
Blood Ibn Unuq secretarybird
yaleyale ya mr kuku,manguruweOkay sawa, mpe ila mimi kama mimi hapana....najua ushetani wa pesa, utampa mtu kwa makubaliano vizuri azungushe ila kuja kuipata sasa hapana.
Mi ndugu yangu wa damu tu nikimpaga pesa kuipata lazma tugombane na kesi ifike kwa mzazi, nshajifunza simpi kwa biashara wala kukopeshana nikimpa nimeitoa tu ya bure si ya kudaiana.
Madini.Nilisoma nikawa selewii vizurii lakini
Unafanya hiyo biashara ama unatak kuifanya?
Nimewahi kufanya wakala wa simu one year.... Nina ka ujuzi kidogo ukitoa hizo za bank.....
Lakini zote wanalipa kwa commission!
Kingine kitakachofanya upate kamisheni kubwa ni mizunguko wa pesa kwenye kutoa na kuweka kuwe frequently.....
Pia mtaji usisahau kuwa wa kutosha angalau kama sio hivyo kwa kiasi ulicho nacho mizunguko uwe unaeleweka,
Good luck π
Blood Ibn Unuq secretarybird
Nimeshea experience yanguMadini.
Unampa then mgawane faida itakayopatikana kama gawio ?mimi nataka nimpe pesa huyo wakala, nipe muongozo mkuu
Deci panda mbegu utavuna.....mmh anyway za ndaniii ma risk taker ndo hufanikiwa πππyaleyale ya mr kuku,manguruwe