Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Siyo kama naifufua.nataka nijue tu mwisho wake.
Iliifanya chit chat kuwa kijiwe cha kipekee.

Lady doctor
wa Arushaone Vs The secretary wa Bishanga..

Nukuu:

Alianza mke wa Bishanga...
Kuna nini huko?au fumanizi safarii sikubali kukosa bora nigeuziwe kibao kuwa nimefumaniwa kuliko.kumis tukio

Mke wa Arushaone akalitibua
wamama wapika vitumbua utawajua tu, wanapenda umbea umbea!!!!
Mke wa Bishanga akalitibua...
Bora wapika vitumbua je wauza makongoro wamechoka visigino kama kwato za ng'ombe hivi za kwako zilishalainika kama bado tumia tindikali
Mke wa Arushaone akaja juu alivyoambiwa alainishe kwato na tindikali..
hahahaaa....., nipe basi kidogo nitumie maana tindikali si ndio mkorogo wako huo, eti unaondoa chunusi hahahaaa na zilivyokujaa kama makande ya maharage mekundu LOL!

Kumbe ishu ilikuwa sijui ni uchaguzi gani vile yani!!
Moto unawaka mabibo sikupi kura unajua mkeo atasababisha ukose kura najua Bishanga atanisapoti

Mke wa mgombea akachapa mkwara..
usimpe kura uone kama utaishi kwa amani kwenye hiinchi

Akaomba Msaada endapo shida itatokea..ha ha ha
honey usicheze mbali, kikiwaka uje unigombelezee
Mkubwa akasikia sauti ya wife akacheka..
Hahahahaha!

Halafu na yeye akapiga mkwara...
Teh ! teh ! teh !

Nchi hii bila uongozi wangu imara hakika mtapata misukosuko sana!
Kumbe hata Avemaria a.k.a kipipi alikuwepo...
akamwambia mume wa lady doctor
Heee!! Na wewe unakuja kujumuika na mkeo kwenye umbea!!!!!

Kesho yake sasa Pakakucha..kazi ikaendelea kikubwa mara hii ni kutetea nafasi kwa ma husband...

Dokta akarusha jiwe...

yaani we mwanamke umbea utakuua, umemuacha mumeo kitandani waenda MMU kushuhudia fumanizi, ndio unarudi asubuhi hii kaaah.... Bishanga nakupa pole sana

Akaongeza jingine...


Mke wa Bishanga akayaona kama maigizo..
akasema!!
Aha wapi wanaigiza tu mapenzi ni yangu na Bishanga hawa wengine ni mazingaombwe tu

Hii mambo hii...
 

mhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…