kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Siyo kama naifufua.nataka nijue tu mwisho wake.
Iliifanya chit chat kuwa kijiwe cha kipekee.
Lady doctor wa Arushaone Vs The secretary wa Bishanga..
Nukuu:
Alianza mke wa Bishanga...
Mke wa Arushaone akalitibua
Kumbe ishu ilikuwa sijui ni uchaguzi gani vile yani!!
Mke wa mgombea akachapa mkwara..
Akaomba Msaada endapo shida itatokea..ha ha ha
Halafu na yeye akapiga mkwara...
akamwambia mume wa lady doctor
Kesho yake sasa Pakakucha..kazi ikaendelea kikubwa mara hii ni kutetea nafasi kwa ma husband...
Dokta akarusha jiwe...
Akaongeza jingine...
Mke wa Bishanga akayaona kama maigizo..
akasema!!
Hii mambo hii...
Iliifanya chit chat kuwa kijiwe cha kipekee.
Lady doctor wa Arushaone Vs The secretary wa Bishanga..
Nukuu:
Alianza mke wa Bishanga...
Kuna nini huko?au fumanizi safarii sikubali kukosa bora nigeuziwe kibao kuwa nimefumaniwa kuliko.kumis tukio
Mke wa Arushaone akalitibua
Mke wa Bishanga akalitibua...wamama wapika vitumbua utawajua tu, wanapenda umbea umbea!!!!
Mke wa Arushaone akaja juu alivyoambiwa alainishe kwato na tindikali..Bora wapika vitumbua je wauza makongoro wamechoka visigino kama kwato za ng'ombe hivi za kwako zilishalainika kama bado tumia tindikali
hahahaaa....., nipe basi kidogo nitumie maana tindikali si ndio mkorogo wako huo, eti unaondoa chunusi hahahaaa na zilivyokujaa kama makande ya maharage mekundu LOL!
Kumbe ishu ilikuwa sijui ni uchaguzi gani vile yani!!
Moto unawaka mabibo sikupi kura unajua mkeo atasababisha ukose kura najua Bishanga atanisapoti
Mke wa mgombea akachapa mkwara..
usimpe kura uone kama utaishi kwa amani kwenye hiinchi
Akaomba Msaada endapo shida itatokea..ha ha ha
Mkubwa akasikia sauti ya wife akacheka..honey usicheze mbali, kikiwaka uje unigombelezee
Hahahahaha!
Halafu na yeye akapiga mkwara...
Kumbe hata Avemaria a.k.a kipipi alikuwepo...Teh ! teh ! teh !
Nchi hii bila uongozi wangu imara hakika mtapata misukosuko sana!
akamwambia mume wa lady doctor
Heee!! Na wewe unakuja kujumuika na mkeo kwenye umbea!!!!!
Kesho yake sasa Pakakucha..kazi ikaendelea kikubwa mara hii ni kutetea nafasi kwa ma husband...
Dokta akarusha jiwe...
yaani we mwanamke umbea utakuua, umemuacha mumeo kitandani waenda MMU kushuhudia fumanizi, ndio unarudi asubuhi hii kaaah.... Bishanga nakupa pole sana
Akaongeza jingine...
yemwenye The secretary na hawara yake Bishanga ni mashuhuda namba moja kila siku wananipa mkono wa pongezi kwakuwa na kapo bora humu ndani.
Nawasihi waige mfano wetu, maana hatuna vidumu wala vigereni tunajitosheleza wenyewe.
Lady doctor na Arushaone milelele!!!!!!!
Mke wa Bishanga akayaona kama maigizo..
akasema!!
Aha wapi wanaigiza tu mapenzi ni yangu na Bishanga hawa wengine ni mazingaombwe tu
Hii mambo hii...