ngoja nisanye sanye documents zangu..
Hii enzi sikuwepo.Hata sijui lolote
ha ha ha ha...afu kuna kitu niliwahi kukuuliza mpaka leo hujajibu..
uliwahi kuishi Tandahimba manake we kila mfano
ulikuwa unaupeleka kule..
Missing you shem
ha ha ha kamanda wanadai wife umri ushamkata..
kipindi hicho mkaruzwano ilikuwa mitamu sana..