Hii bifu ilikuwa kali, Iliishia wapi?

Aaah inaonesha ilikua tamu sana hii....hivi gazeti la udaku lilifia wapi ndugu mwandishi?
 
hivi alikuwa anapata? akirudi huku mara hii atatafuna wengi..



Mwenzio nilifunga kwa maombi.... na sasa naenda mpaka mlimani kwa maombi

Hilo pepo linalosumbua ndani ya zip ya suruali lishindwe na likakamae ikibid livunjike vunjike

Amen
 
Last edited by a moderator:
mkuu kiwatengu huyo kabanga mshika pembe tu

kwa ushahidi hadi nimeitwa ili nijue kuna watu wanaingilia himaya yangu
mkuu kabanga niachie nisije kukutoa tezi dume bure

mara nyingi huwa sipiganii haya mambo, huwa sipigi kelele, je MO11 unasemaje...?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…