Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Anakaa yeye tu ile ndogo anakaa mtoto wetu
mmmmmmh haya bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakaa yeye tu ile ndogo anakaa mtoto wetu
hahaha ulimchinjia baharini lol
atajitokeza mwenyewe hapa
hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba tu
hahahaha mo acha hizo
Ahhhhhhha haya
Ukiona mtu anaogopa kukiri mbele za watu kuwa yeye ni wako pana kitu....yan sijui kwa nini nlipewa braza mzembe kiasi hiki
#BRAZAFORSALE
kwa hiyo unataka nikutaje au ?
umeshajijua kumbe
yaani hakuna kabisa.....
Kuna dada ako anajidai anakujua sana kuliko mim
unataka kugombana na wifi yako tena
kwa hiyo unataka nikutaje au ?
umeshajijua kumbe
sista usiniuze kana kwamba hujui kitu
Umezidi bwana mimi siwezi kuvumilia unafanywa mume bwe.ge na mimi naona
Kuna dada ako anajidai anakujua sana kuliko mim
Ukiona mtu anaogopa kukiri mbele za watu kuwa yeye ni wako pana kitu....yan sijui kwa nini nlipewa braza mzembe kiasi hiki
#BRAZAFORSALE
kabanga ni huyu hapa miss neddy
Umefufua kwa vitendo