Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

Unayo HOJA,

Ingawa Hadi sasa CCM haieleweki kama chama Cha kijamaa au la kutokana na RUSHWA kutamalaki na mfumo wa kibepari.

Na ikiwa unataka kuhama, uhamie chama kipi?
 
Utakuwa na makasiriko mmcheppukko uliyeachika
Si ajabu maana nchi imevamiwa na mabasha wa kimarekani na wanatoa hela sana. Vijana wengi wanapenda hela ya wamarekani wala hawaoni wanadhalilika. Ukisema vibaya amerika wanakasirika.
 
Udini tu unakusumbua
 
Unayo HOJA,

Ingawa Hadi sasa CCM haieleweki kama chama Cha kijamaa au la kutokana na RUSHWA kutamalaki na mfumo wa kibepari.

Na ikiwa unataka kuhama, uhamie chama kipi?
Japo kuna mtu kama wewe unanielewa.
Hilo la chama gani nitahamia nitajua muda ukifika. Sitaki kua sehemu ya unafiki. Mapambano ya uhuru na maendeleo ya tanzania ni safari ndefu. Walianza kina nyerere hawapo tena kwa hivyo wapo wataendeleza.
 
Safi sana umeongea point mkuu.

Ifike wakati nchi za magharibi ziache kujihusisha na internal affairs za nchi zetu ili kutupa uhuru wa kusimamia mambo yetu wenyewe.
 
Japo kuna mtu kama wewe unanielewa.
Hilo la chama gani nitahamia nitajua muda ukifika. Sitaki kua sehemu ya unafiki. Mapambano ya uhuru na maendeleo ya tanzania ni safari ndefu. Walianza kina nyerere hawapo tena kwa hivyo wapo wataendeleza.
Mimi pia CCM siwaelewi, upinzani pia sikuwaelewa,

Lakini imebidi niungane nao Kwa sasa kudai Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya Ili Katiba kimfumo itoe dira ya siasa na Uchumi wetu ichukue mlengo upi Hasa,

Maana Hadi sasa hatujulikani kama popo, Kwa ndege hakai, Kwa wanyama hakai!!
 
huo ndio msingi wa uimara wa mahusiano mema baina ya Tanzania, taasisi zake za umma na zisizo za umma dhidi ya Jumuiya za kimataifa 🐒
 
Una hoja ijapokuwa unapopolewa na wengi. Uhuru ni maendeleo. Chama kinapaswa kuendelea kuwa huru. Ushirikiano ni kati ya serikali na serikali sio serikali na chama.
 
CCM ni zaidi ya shetani.
CCM ni zaidi ya beberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…