Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Una akili sana mkuu. Ukiingia JF huwezi toka kapa.
 
Hilo sahani au bati mkuu?
Ndo hali halisi mkuu. Una ushauri gani? Mbona mfuniko wa Joseverest hujasema au hujauona? [emoji23][emoji23]. Mwenzio siwezagi tabia ya kufake. Nashindwa.. Na nikitaka niumbuke labda.

Mentor Nakuhakikishia ushauri wako kufanyiwa kazi. Wanawake ndo wanajua chagua vyombo vizuri. Hata hivyo Mzigua90 au Jolie Jolie watanisaidia. Hivyo usihofu sababu nipo mikono salama
 
Chapati za mayai
-unga nusu
- mayai manne
-Vijiko vinne vya maziwa ya unga
-Ukachanganya na tui la nazi sio maji
-Karoti ukaisagia sio ya kukata vipande vikubwa
-Hiriki.
Uwe na rost ya maini japo robo.
Hukosi mke hapa brother.
 
Tupatie link basi nimemtafuta sijampata
 
Mwanaume anajua mpaka kuunga mchuzi wa nazi anawahi kuoa kutafuta nn

Unakuta kwake kuna kibao cha chapati,cha kukunia nazi na kinu hahaha hao hawaoagi
Napika wali nazi mwenyewe cjui mwanamke utanipikia nini...
Napika mtori mwenyewe cjui mwanamke utanipikia nini..
Napika kisamvu nazi mwenyewe cjui mwanamke utanipikia nini...
Napika chapati,maandaz mwenyewe cjui mwanamke utanipikia nini....
Na kufua,kudeki +kuosha vyombo ndo kazi ninayoipenda cjui mwanamke utanifanyia nini...
 
Looooh!!!!we hapana kwa kweli
 
Heeeeeh unauliza mwanamke atakufanyia nini???
Lol, seriously!!!!
 

Ya kumimina ? [emoji23]
 
Kweli huu itandawazi hadi mapishi mnajifunzia YouTube [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…