Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Mie huwa nablend
Unga
Kitunguu
Yai
Sukari
Karoti kidogo sana
Hoho
Na kachumvi kadogo

Nasaga kwa pamoja kupata uji laini.
Sukari imenishinda kwenye chapati ya maji.
Naonaga inanoga ukiblend yai unga na chumvi. Ukishapata rojo ndo ukate kate kitunguu hoho na carrot unaikwangua.
 
Chapati zote lazima niweke sukari kiduchu na chumvi kiduchu yaan kama hakuna sukari sijui nazionaje walai.
Ukiweka sukari na chumvi zinataste vibaya. Pika za chumvi peke ake atapenda. Nilikaaga two yrs sili hizo chapati sababu siku moja bibi yetu alitupikia halafu akaweka sukari haki nilitapika nikaacha kula chapati za maji
 
Sema wewe ndio hupendi sukari, mimi zikiwa chumvi tupu siwezi kula lazima nitaweka sukari kwa juu.
 
Back
Top Bottom