figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #201
Hahahaaaa....Asiejua kupika atajifunza tu polepole kwa majiran
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....Asiejua kupika atajifunza tu polepole kwa majiran
Zipo mkuu. Siku hizi mchina kaziongezea thamani. Zina hadi maua na picha za wakina Juma na Roza. Yaani kwa ufupi sahani hazikwepeki. Sie twajaziwa ubwabwa kwenye sahani aina ya sinia.. Ushawahi ona sinia ya udongo au plastic?
Ukikurupuka usingizini uwe unatulia kama dakika 10 au 15 usingizi uishe ndo u comment.
Atasijaelewa ulichoandika, embu soma tena nilichoandika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, unamsikiliza Jolie Jolie? Mjanja sana.. atakuacha kwenye mataa.. Shauri yako[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmmh
Mr Chuma kigumu bado unapambana nami.. sasa nikufundishe kusoma na kuelea na pia kukumbukia kwamba nini kilitangualia.
Uliona picha ya sahani
Ukamwambia anunue ingine sijui nini..
Nikakujibu hivyo kukuuliza kama alikuambia hana sahani unazotaka kuona..
Sasa hapa tunakuja kwenye kwamba hayo yote uliyoniandikia yamekurudia.. njoo nikufundishe kusoma na kufikiria na kuelewa bila kusahau kurudi nyuma ukizingatia nilikunukuu.. sasa inakuwaje hukujisoma ukaelewa..
Ulitaka nikuandikie lisentensi lirefu kwani hujui kuwa muda kwa wengine na sisi ni pesa!!!
Itabidi nianze kukudisi sasa maana haya ya kukuandikia gazeti hapana aiseee.. siwezi.. nioifikiri upo juuu kumbe pwaaaaa.. looo
Hata kukukaribisha mkoani kwetu uje uone maisha ya kijijini basi sikukaribishi tena.. eeeeh.. ndio umekosa organic food.. endelea kula chips mayai
Ubaya sasa ukishaweka kwenye fridge ile ladha ya asili kama inapotea flani hivi,haiwi kama ile fresh umekuna hapo hapo na kuitumia hapo hapoUwe unakuna nazi ya kutosha unaweka kwenye fridge. Ukikata kupika unapasha tu maji unachuja zako tui. Mi nazi ya azam siwezi kuila tena. Nazi ya kawaida ina ladha kwenye msosi. Ile ya azam unasikia harufu tu ila ladha hamna. Kama dada anakujaga kwako mwambie awe anakukunia aweke kwa fridge uachane na nazi za azam
Sawa. Asante kwa ufafanuzi Jolie Jolie[emoji8]Yupo huko youtube sijui kama ni yeye wa jf
Haipotei mama. Inategemea na uchujaji wako wa nazi. Ukitumia maji ya moto mafuta yote na tui lote linatoka poa tu.Ubaya sasa ukishaweka kwenye fridge ile ladha ya asili kama inapotea flani hivi,haiwi kama ile fresh umekuna hapo hapo na kuitumia hapo hapo
Huo ndo ukweli mkuuMkuu, unamsikiliza Jolie Jolie? Mjanja sana.. atakuacha kwenye mataa.. Shauri yako[emoji23][emoji23]
Ntaijaribu hii ya nazi.Haipotei mama. Inategemea na uchujaji wako wa nazi. Ukitumia maji ya moto mafuta yote na tui lote linatoka poa tu.
Mi ni mmoja wa watu wanaoamini kitu kikikaa kwenye fridge kama hakijapikwa kinatoka ladha. Siwezi kula kuku aliekaa kwenye fridge bila kuchemshwa labda nimkaange, nyama nachemsha kwanza ndo naweka kwenye fridge au naitia chumvi na ndimu ndo naamini haiwezi poteza ladha yake ya asali. Jaribu kwenye nazi mara moja tu utaona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa mimi samaki wa fridge hanisumbui. Nachofanya naweka ndimu na chumvi anakaa kwenye fridge hata week na nikimpika wala habadiliki sana. Japo napenda sana vyakula fresh jamani. Mikuku ya supermarket sinunui kabisaNtaijaribu hii ya nazi.
Usiombe uweke samaki akae kwenye fridge kama siku tatu hivi hahaha ukija kupika unaona ni heri ungebandika maharage ule
Mmmmmh
Mr Chuma kigumu bado unapambana nami.. sasa nikufundishe kusoma na kuelea na pia kukumbukia kwamba nini kilitangualia.
Uliona picha ya sahani
Ukamwambia anunue ingine sijui nini..
Nikakujibu hivyo kukuuliza kama alikuambia hana sahani unazotaka kuona..
Sasa hapa tunakuja kwenye kwamba hayo yote uliyoniandikia yamekurudia.. njoo nikufundishe kusoma na kufikiria na kuelewa bila kusahau kurudi nyuma ukizingatia nilikunukuu.. sasa inakuwaje hukujisoma ukaelewa..
Ulitaka nikuandikie lisentensi lirefu kwani hujui kuwa muda kwa wengine na sisi ni pesa!!!
Itabidi nianze kukudisi sasa maana haya ya kukuandikia gazeti hapana aiseee.. siwezi.. nioifikiri upo juuu kumbe pwaaaaa.. looo
Hata kukukaribisha mkoani kwetu uje uone maisha ya kijijini basi sikukaribishi tena.. eeeeh.. ndio umekosa organic food.. endelea kula chips mayai
Hayanaga ladha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa mimi samaki wa fridge hanisumbui. Nachofanya naweka ndimu na chumvi anakaa kwenye fridge hata week na nikimpika wala habadiliki sana. Japo napenda sana vyakula fresh jamani. Mikuku ya supermarket sinunui kabisa
Kumweka samaki kwenye fridge, ukitaka kumweka samaki ili umkute yuko na ule uasili wake basi inashauriwa usimkoshe pale baada ya kutengezwa kiasi kwamba unapomtoa kwenye fridge ndio unamwosha na kumfanya vile unavyotaka. Hapo utamkuta yupo na uasili wake na hata ladha hapotezi.Ntaijaribu hii ya nazi.
Usiombe uweke samaki akae kwenye fridge kama siku tatu hivi hahaha ukija kupika unaona ni heri ungebandika maharage ule
Kumbe wanaume wanaoa ili kupata mpishi?!!Mwanaume anajua mpaka kuunga mchuzi wa nazi anawahi kuoa kutafuta nn
Unakuta kwake kuna kibao cha chapati,cha kukunia nazi na kinu hahaha hao hawaoagi
Some of them not all, myself nimeoa ili nipate watoto na kuwa na familia yanguKumbe wanaume wanaoa ili kupata mpishi?!!
I never knew
Oooh wangu naona amenioa kwa mapenzi tu maanake hakuwahi kujua kama nafahamu kupika.Some of them not all, myself nimeoa ili nipate watoto na kuwa na familia yangu
Mimi nitaoa ili nipate familia. Kulala peke yangu kunaniboa.Kumbe wanaume wanaoa ili kupata mpishi?!!
I never knew