Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Unajitahidi kupika ila njegere upike za nazi ndo nzuri
Halafu ukimkuta Joseverest amekaa upande anakuna nazi na mbuzi wake utamsema na kumuanzishia thread humu hahaha...
Mimi kwa kweli mbuzi ninayo lakini ni kwa ajili ya wadogo zangu tu wakija. Nikihitaji ladha ya nazi natumia za azam...ingawa mara moja moja huwa najilipua tu ila nikikuna nakuwa na mlango nimefunga kabisa! Wabongo mna maneno sana....
Hii comment sjui niitunze wapi
Nimekufowadia PM.