Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh! Emu acha kunikalili..! Utakujaga kuninyima papuchi wewe[emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmhh! Emu acha kunikalili..! Utakujaga kuninyima papuchi wewe[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataman nikuone unavokuna nazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuelekeza jamani anogeshe chakula chake
Ni kweli lakiniUsione haya kawaida tu, hata kwenye mpira wa miguu aliye juu anaona sana kuliko mchezaji uwanjani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Nimeacha mkuuMmhh! Emu acha kunikalili, utakujaga kuninyima papuchi wewe[emoji125][emoji125][emoji125]
Mama T yupo sana, bigwa wa kupika hatari sana.
Kweli itakua shida [emoji23][emoji23][emoji23]Unaona sasa...itabidi nikukague kwanza usijekuwa na kifaa cha kurekodia picha! Huwezi amini hakuna mtu amewahi kuniona nikikuna nazi....
Ila akikuelekeza mumeo itakuwa shida hah
Uwe unakuna nazi ya kutosha unaweka kwenye fridge. Ukikata kupika unapasha tu maji unachuja zako tui. Mi nazi ya azam siwezi kuila tena. Nazi ya kawaida ina ladha kwenye msosi. Ile ya azam unasikia harufu tu ila ladha hamna. Kama dada anakujaga kwako mwambie awe anakukunia aweke kwa fridge uachane na nazi za azam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unahisi atakua anakuna kama wanavyofunzwa kina dada jinsi ya kukuna nazi na makungwi wao?
Hilo sahani au bati mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua aliwaza umeanza ushirikina sasa unaandaa vitendea kazi vya kwenda kupasua njia panda usiku kumbe mwenzie unajipikia.Aisee hili ni bonge la idea....nimelipokea kwa mikono miwili. Nitakuwa nafanya hivi.
Nakumbuka enzi hizo za kuishi nyumba za kupanga (isomeke 'chumba') Kigamboni sasa jirani akaniona narudi nyumbani na nazi kadhaa na anajua sijaoa...aliniangalia weee nikamuona kabisa anatamani kuniuliza ila akashindwa!
Mnaona sasa...
Hebu rudini kwenye topic ya chapati za figganigga bana.
Cc: Jolie Jolie
Iwe kw ustaarab sasHahahaaa.... Hiyo ndo raha. Ukikosea si anakuelekeza? Ukijua maisha yanasonga. Usiogope kukosolewa.
Umeona mambo eeeeNimeenda kwa yule Aroma. Nitaanza kupika vyakula vyake weekend
Eeee hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unahisi atakua anakuna kama wanavyofunzwa kina dada jinsi ya kukuna nazi na makungwi wao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaona sasa...itabidi nikukague kwanza usijekuwa na kifaa cha kurekodia picha! Huwezi amini hakuna mtu amewahi kuniona nikikuna nazi....
Ila akikuelekeza mumeo itakuwa shida hah
We acha kabisa nimemiss hapa natoka Njombe niko mafinga siyo kwa baridi hili..!Nimeacha mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua aliwaza umeanza ushirikina sasa unaandaa vitendea kazi vya kwenda kupasua njia panda usiku kumbe mwenzie unajipikia.
Mpaka mkate wa kumimima unapika? HESHIMA YAKO.Ayaaaaa halafu sikufikiria hili aisee...huenda!
Ila enzi zile za nyumba za kupanga ilikuwa raha jamani ukiwa na majirani wakarimu. Mimi nilikuwa nikisafiri lazima nirudi na zawadi za majirani (matunda, nazi, ndizi, ...) basi nawagawia hata kidogo kidogo tu. Sitosahau ule mfungo wa Ramadhani kipindi kile. Nilikirimiwa sikupika mwezi mzima...jirani huyu anakuletea daku asubuhi (ila ilikuwa adhabu kuamshana saa kumi sijui ile) na nikirudi jioni nakuta msosi unanisubiria. Wale wadada (mashemeji zangu) walikuwa wataalamu hasa. Huko nadhani ndipo nilijifunzia mapishi ya chapati za maji na mkate wa kumimina. Good old days aisee..ukiishi na watu vyema utavuma mengi mema!
Dah umenifanya nipamiss Kigamboni aisee... [HASHTAG]#nimekumbukaZamani[/HASHTAG]
Mpaka mkate wa kumimima unapika? HESHIMA YAKO.
Mkuu, unamsikiliza Jolie Jolie? Mjanja sana.. atakuacha kwenye mataa.. Shauri yako[emoji23][emoji23]Ukweli mtupu
Zipo mkuu. Siku hizi mchina kaziongezea thamani. Zina hadi maua na picha za wakina Juma na Roza. Yaani kwa ufupi sahani hazikwepeki. Sie twajaziwa ubwabwa kwenye sahani aina ya sinia.. Ushawahi ona sinia ya udongo au plastic?Hivi sahani za bati bado zipo?
Mimi nitamfundisha. Ila ikitaka kupika iwe moja ya majukumu yangu ntakua mkali kidogo.Je, mwanamke asiyejua kupika?[emoji23][emoji23][emoji23]