Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
yaani ni shida.Huyo beki ni wa ovyo sana...sifa alizipata kwenye kufunga sio kukaba
Huwezi kumweka kwenye kitabu kimoja na kina vidic, Terry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani ni shida.Huyo beki ni wa ovyo sana...sifa alizipata kwenye kufunga sio kukaba
Huwezi kumweka kwenye kitabu kimoja na kina vidic, Terry
kutula ja kulushindoshi nkoyi.Siyo Gaucho Ni delima
Je Vidic hakuwa beki bora kwsbb hii?Kweli VVD ni beki bora, chenga kama hizi wanapigwa akina Smalling kila siku lakin watu hawana habari, amepigwa VVD ni habari dunia nzima..
Vidic hakuwa bora??Huyo beki ni wa ovyo sana...sifa alizipata kwenye kufunga sio kukaba
Huwezi kumweka kwenye kitabu kimoja na kina vidic, Terry
Vidic hakuwa bora??View attachment 1222684
Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?View attachment 1222442
Zizzou akaja kupigwa tobo bao na messiKawaida kwenye soka..Gaucho alipigwa kanzu na Zizzou World Cup 2006
kutula ja kulushindoshi nkoyi.
Hii lugha hujaimaster vizuri.Matusi ya nini babu kuwa mstaarabu kutakugharimu tsh ngapi?
Kwa vigezo vipi au kwa maoni binafsi? Leta stats.Sijazungumzia alicholeta mtoa mada..mimi kila siku nasema vvd ni mchezaji wa kawaida sana
Hiyo chenga ilipeleka point ngapi kwa timu ya mpigaji?Huyu ndo kisiki ama kigogo
Kawaida kwenye soka..Gaucho alipigwa kanzu na Zizzou World Cup 2006
daa mbaya zaid kapigwa chenga moja hatar alafu mchina sijui mkorea akapiga bonge moja la goli.goli la tatu pia ni makosa yake na mkorea huyo huyo
Inaitwa acrobatic physical fitness kick!Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?View attachment 1222442
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Hatimae yule beki overrated amepigwa chenga ya aina yake.
Je wataalam wa soka, hii chenga inaitwaje?View attachment 1222442
Kama beki ghali duniani [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Huyo overrated alipigwa kitu nakiita Tarantula dancing move