Hii Chenga Kitaalam inaitwaje?

Hii Chenga Kitaalam inaitwaje?

Kweli VVD ni beki bora, chenga kama hizi wanapigwa akina Smalling kila siku lakin watu hawana habari, amepigwa VVD ni habari dunia nzima..


Dawa yake Messi huyu, first league in uefa alikiona cha moto...hata hivyo ile tuzo walimbeba tu, Messi alistahili 😀 but I'm so happy na yeye ametwaa tuzo kuliko yule jamaa wanaembeba kila mwaka.
 
Back
Top Bottom