ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mbona huyo ni pisi kali.Wadada wakenya waongoza kwa makomwe 🤣
Mimi mwenyewe nina komwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona huyo ni pisi kali.Wadada wakenya waongoza kwa makomwe 🤣
Sure ___Angalu wanakuwa wamefaidi upendo
SureAngalu wanakuwa wamefaidi upendo
Umeliona hilo...Maskini mchizi anapangwa wakati demu anasubiriwa kwenye gari.
Na mchizi anajua anapangwa ndio maana kama hajali flani hiviUmeliona hilo...
HahahahaUnapotumia hilo neno jekundu wekea copyright lina mwenyewe
CC Lucas Mwashambwa
sasahivi tunaita tv la chogo...🤣Mbona huyo ni pisi kali.
Mimi mwenyewe nina komwe.
Kunywa chai kwanzasasahivi tunaita tv la chogo...🤣
Nimefunga!Kunywa chai kwanza
Wewe hauna komwe wadanganye wengine😁Mbona huyo ni pisi kali.
Mimi mwenyewe nina komwe.
Umeniangalia kwa uogaWewe hauna komwe wadanganye wengine😁
Kwa nini nifanye hivyoUmeniangalia kwa uoga
Watu wengine mko kama wachawii😂😂Ni swala la muda tu