Hii clip ime trend Kenya. Watu wanajua kupendana

Hii clip ime trend Kenya. Watu wanajua kupendana

Jamaa kapiga shati lake linapepea tu lakini huku Hadi uvae superbrand za ulaya ndo unapendwa, unyoe kiduku na modo wakati mchizi kanyoa za brasha na Hana mambo mengi, wadada na wanaume wenye akili ni wachache sana huku TZ...Kijana ishi maisha yako, be real utaishi Kwa amani sana.
 
Ukishaona tu raia wanapendana hivyo, ujue kuna mmoja kaamua kujifanya bwege...
 
Nani tupendane hivyo? 😭😭😭😭😭 tusimame njiani, nijue kuna mtu anaturekodi, nizidishe mbwembwe 🤔 nimshike, mwanaume awe mpole hivyo mwisho anishike kiuno na aondoke kama hatukuwa pamoja 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Wapo wengi JF. Ila kibongo bongo bado ushamba mwingi. Mkifanya hivyo nyomi ya watu itabaki inawashangaa
 
Sio igizo, it seems walisimama mda mrefu kiasi chaku attract attention ya aliewa record. Hiyo clip ilipostiwa insta na huyo dada alicomment kumshukuru alie wa record na kupost.

Mimi niliiona Reddit.
Pale manzi ndo anaonesha kabisa kamwelewa sana mshkaji....ila mshkaji ni kama Hana Hela mfukoni hivi utulivu zero concentration zero
 
Back
Top Bottom