Hii Club bingwa Africa msimu huu

Hii Club bingwa Africa msimu huu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nimetazama game ya Simba vs Wydad. Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA

Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli itakuwa mingi
 
Naona mamelod kampiga mwarabu 3 na bado game ipo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Nawashangaa wachambuzi walikuwa wana sema ktk hii round simba ndio timu dhaifu sasa tumejionea timu dhaifu imepigwa 3 ikiwa nyumban lwake
Hao mamelod unawaonaje?..Tuwe wakweli,je simba anaweza kumfunga ahly goli 5?.Kipimo chako hakina uwiano.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mamelodi wanabalaa sana hao jamaa, wanatisha sana.
 
Timu ndogo ndio zinaongoza ligue yanga naongoza ligue Rabat anaongoza ligue tena ligue bora kabisa

Endelea kujifariji
 
Back
Top Bottom