luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
mlio wa kukuKwahiyo tufanyeje?
Jiwe gizaniπ€£Nimetazama game ya Simba vs Wydad,
Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA
Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli itakuwa mingi
Tumebakiwa na game moja ya kukamilisha ratiba.Nimetazama game ya Simba vs Wydad,
Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA
Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli itakuwa mingi
Hao mamelod unawaonaje?..Tuwe wakweli,je simba anaweza kumfunga ahly goli 5?.Kipimo chako hakina uwiano.Naona mamelod kampiga mwarabu 3 na bado game ipo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nawashangaa wachambuzi walikuwa wana sema ktk hii round simba ndio timu dhaifu sasa tumejionea timu dhaifu imepigwa 3 ikiwa nyumban lwake
Hapana inaweza kumfunga 5 mpk sita kibonde wao YangaHao mamelod unawaonaje?..Tuwe wakweli,je simba anaweza kumfunga ahly goli 5?.Kipimo chako hakina uwiano.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Al ahly hii ya sasa inapigika izo goli niliwatazama jama kiukweli utawala wao baran Africa una kwenda kupoteaHao mamelod unawaonaje?..Tuwe wakweli,je simba anaweza kumfunga ahly goli 5?.Kipimo chako hakina uwiano.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app