Maisha maishani........Kuna wanangu wako chuga aise wamenicheki wananiambia mkali hapa tuna vibe balaa la kufa mtu
Tunachanja mirungi
tunakazia na konyagi
shada kwa wingi.
sasa najiuliza hio combination si bomu kabisa la kusambaratisha akili?
Wanakufa vibaya mnoNoma sana