Hii combination ya wanangu wa chuga ni balaa tupu yani kuchanja mirungi na kukazia na konyagi/k-vant + Bangi

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Kuna wanangu wako chuga aise wamenicheki wananiambia mkali hapa tuna vibe balaa la kufa mtu

Tunachanja mirungi
tunakazia na konyagi
shada kwa wingi.

sasa najiuliza hio combination si bomu kabisa la kusambaratisha akili?
 
Kuna binadamu wanaitwa
Warangi
Wasomali
Hawa nadhani hayo majani Mungu aliwaumbia wao maana si kwa ulaji walio nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…