Hii Concessional Loan ya miaka 20 ya Rais Samia, mmh!

Upumbavu wenu ndio huu,kwani kwa akili yako uliraka rais afanyeje,achume hela kwenye mti?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo basi wewe mjamaa...mama ameongelea mkopo wa kujenga reli wa zaidi ya trillion 14 aliosaini leo...kuwa utalipwa ndani ya miaka 20. Hebu niambie leo ameongelea wapi mkopo wa covid wa trillion 1.3?
Kichwa maji... hakuna kitu kama hiyo... hiyo 14T ndo thamani ya ujenzi wa SGR kwa lot 4 mpk sasa... nenda kamsikilize tena mama....
 
Solution ya kudumu ni kuwaondowa ccm tu, huu ni ukoo wa panya.
 
Kwa hiyo unaumia sana wakilalamika?
 
Mliambiwa kuna siku moja mtamkumbuka hamkuelewa.

Siku ya kumkumbuka itakapowadia tutakumbuka wote.

Tanzania yangu[emoji24][emoji24]
Hiyu marehemu ndio rais aliyekopa kuliko wote tangu tupate uhuru hela zenyewe alikua anatumia kununua wapinzani shenzi zake.
 
Zile hela zilikua na za covid relief wala sio za kujenga shule, uganda wamepata waka gawana mpaka bunge. Sasa sisi tume tumia vizuri, unajua return ya kupump trilion kwenye uchumi? Maana kuna waliouza nondo, kuna walio pata kazi etc
 
Kichwa maji... hakuna kitu kama hiyo... hiyo 14T ndo thamani ya ujenzi wa SGR kwa lot 4 mpk sasa... nenda kamsikilize tena mama....
Hata kama...zote ni mkopo. Kasoro ipo moja, Magu alikuwa anachukua mikopo ya commercial yenye interest rate kubwa ya 6% na inatakiwa ilipwe baada ya muda mfupi, wakati Mama anachukua mikopo ya rate ndogo na inalipwa baada ya muda mrefu
 
Alafu anakuja kupata Uraisi mwenda wazimu anawambia mabeberu kamtafuteni aliewakopesha ,halafu anawambia hilo deni halituhusu linawahusu wale ccm ,kama mnaweza kuwafungulia mashitaka jisikieni mupo huru.
 
Kuchukua mkopo kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na tozo tuliambiwa zitajenga madarasa hapo ndio sijawahi kupaelewa.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee lijamaa liongo kweli kweli !! Yaani mazungu haya yanataka waTZ tuelimike na kuwaadabisha mabadhirifu ya CCM na liserikali lao ? Hahahahaaaaa !! Wacha kicheke tuu !!!
 
Nimesoma Uzi wa hovyo kabisa wa kufungia mwaka, nasikia kichefuchefu
 
Tanzania tuna laana ya kulalamikia kila jambo utafikiria tumekalia vitu vyenye ncha Kali, ni watu tusio na jema kabisa

Wewe ndio umekalia hicho kitu !! Kwa nini tusilalamike ilhali tunadhulumiwa wazi wazi na nyie majizi ya CCM ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…