Hii couple inajielewa sana

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Kwangu mimi binafsi ukiniuliza best couple ya mastaa wa bongo nitakuambia Navy Kenzo yani Aika na Nahreel.



Hawa vijana wanajielewa sana they have no drama, maisha yao ya kimapenzi wameyaweka mbali sana na social media. Hata ule ukaribu na wasanii wenzao wajinga wajinga (mashosti) hawana.

Nadhani hizi zinaweza kuwa sababu za kuwafanya wadumu katika mapenzi na kama kundi la muziki, mana ni ngumu sana kuunda kundi halafu mke na mume ndo mnafanya kazi pamoja. Kama P Square pacha wameshindwana itakuwa wapenzi?

Hongereni sana Aika na Nahreel, achaneni na upuuzi puuzi leeni watoto wenu, fanyeni mziki, pigeni kazi kwa manufaa yenu na kwa manufaa ya watoto wenu na taifa kwa ujumla
 
Hao hawaja tofautiana hadhi, changanyikeni inatisha.
 
naifananishaga na ile ya Carter family
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…