Hii couple inajielewa sana

Hii couple inajielewa sana

akiangalia umri unasogea na yeye anatamani kuingia kwenye ulimwengu wa bibi na bwana kolomijee.
mwaka mmoja tu wa kufahamiana kwao zaidi wanatangaza ndoa
Pole yake ndio kaibua garasa,
 
Tangu couple ya Jason Derulo na jordin sparks kuvunjika sinaga habari na watu wanaovuana nguo.

Hata ndoa yangu yenyewe sina habari nayo.
Me nalala saizi, mke wangu hajarudi na sijui alipo, sina habari.
Mkimuona huko mwambieni akirudi anigongee dirishani maana simu naizima.
 
Hatari. Chen katoa wimbo mzuri wa kuwasindikiza 'beautiful goodbye' baada ya 'everytime' iliyowakutanisha.
teh teh ni kama aliwatabiria tokea miezi mitatu iliopita.

ngoja nikimbie nisije nikachafua uzi wa watu
 
Naungana nawewe mkuu

Ila kama Yangu na French montana
 
Tangu couple ya Jason Derulo na jordin sparks kuvunjika sinaga habari na watu wanaovuana nguo.

Hata ndoa yangu yenyewe sina habari nayo.
Me nalala saizi, mke wangu hajarudi na sijui alipo, sina habari.
Mkimuona huko mwambieni akirudi anigongee dirishani maana simu naizima.
Hahahaha

Umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom