Hii couple inajielewa sana

Ni kweli wasanii wa mikoani hawana skendo
 
Mm kwangu Sema na diamond... Yaan Hawana hata skendo Moja hawana shetani hawabariki
Nimecheka, na nimecheka zaidi nlivyojiuliza nacheka kwa sababu gani, baada ya kuona hakuna cha kuchekesha ikabidi niassume naicheka avatar yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] U crazy.
 
anyway tuwape mda
 
Huyo jamaa huyo mpenzi wake ni wa muda mrefu sana toka wanasoma India i.e 2007 na kuendelea
 
Inapendeza sana...

Aika yupo bumper to bumper na jamaa yake, amuachi hata nukta...


Cc: mahondaw
 
Trie
 
Daah hii kaz ukute ww mwenyewe ata mahusiano yako hujui yanaendeleaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…