Hii damu waliyomwaga ni signature ya ukombozi wa nchi

Hii damu waliyomwaga ni signature ya ukombozi wa nchi

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
7,258
Reaction score
14,942
Imekwenda ardhini haitapotea kamwe, itaendelea kuwala hadi iwamalize kaanza mama yao, leo kaja madera anakula za uso na maboko yake!

Itaendelea kutambaa kama mafuta ya taa na kula kila kichwa kilichohusika na uharamia ndani ya nchi hii, ni suala la muda tu.

Sikutegemea itakuwa haraka namna hii ila nilijua itafanya makubwa! Tukae mkao wa kurekodi tu hii ni signature ya ukombozi wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom