Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito.
Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake zikoje?
Walichofanya ni kuiongezea nguvu na kutokeza dawa ya kupunguza uzito iitwayo Wegovy. Dawa hii imesajiliwa na kupatikana Tz? Gharama zake zikoje?