Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
HaiwezekaniHivi unaweza kuondoa kitambi bila kupunguza uzito?
SawaHaiwezekani
Upi mkuu na inapatkana wapi tzOzempic ina utata mwingi sana kwa sasa.
Kwanini brother?Ozempic ina utata mwingi sana kwa sasa.
Znapatkana wapiSIjajua kama Iko nchini,ila Kuna orlstat na gacinia gambochia zipo nchini
ndioHivi unaweza kuondoa kitambi bila kupunguza uzito?
Mmmh howndio
🚮 nope. life is not that easyMtu anaetaka kupungua, ingia google search neno "50 cent liquid diet" utaiona. Ni simple sana, yeye alipungua kilo 27 kwa wiki tisa kwa ajili ya movie role. Hata ukifanya kwa mwezi mmoja tu unapungua sana. Unakula liquids tu, mitori supu juice maziwa etc.
Msechu hadi kawekewa puto,tumbo la Taifa bado lipoKwanini brother?
Tunaomba DAR'SA kidogo!
Nimechoshwa na hili tambi langu kama kijeba cha mpapule!