Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

4by94

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
9,214
Reaction score
8,306
Je hii decoder inatumikaje na dishi lake ni la aina gani? Inaweza tumika kwa madishi ya azam au dstv au antena ya startimes?

IMG_20240401_075447_438.jpg
 
GTV. Ni miaka ya 2008 ila walishindwa kazi mkaburu akarudi Kwa utawala wake.
 
Hiyo naijua inatumia wire wa kawaida sana, unafunga juu kwenye msumari wa pazia la mlangoni, yaani haiscratch hata kidogo. Na inashika chanel zote.
 
Back
Top Bottom