Hii EACOP ambayo hatupati usingizi kwa sababu kila siku tunapigiwa makelele kuihusu imepelekwa kortini

bilashaka mtakua na report yenu ya environment assessment so ni jukumu lenu kuishawishi mahakama (sa sijui mliifanya lini na wapi)
kila la kheri ktk kukimbiza upepo

Huu mradi hamuwezi kuufanya kibabe maana kwanza unafanywa na mabeberu, nyie hela hizo hamna, kawaida mabeberu huwa makini sana kwenye masuala ya mazingira, huwa hawaachii kijinga jinga kutundika miradi popote, wakieleweshwa vizuri kwa namna za kitaalamu wataskliza na kupiga pini.
 
Hapo hamna ulichoongea zaidi ya mihemko. Hizo pipeline zinapasuka mara ngapi kwa mwezi? Maana itakuwa risk kubwa kama frequency ya kupasuka itakuwa sawa na ile ya migomo ya watumishi wa afya wa Kenya.
Haijalishi hata likipasuka mara moja bado linaweza kufanya madhara makubwa kwenye environment. Frequency ya kupasuka sio muhimu. Muhimu ni kuwa pipeline kama hili likipasuka litafanya madhara makubwa kwa mazingira hata kama litapasuka mara moja tu
 
Tanzania ikiamua Hakuna mjinga wa kutuzuia
 
Haijalishi hata likipasuka mara moja bado linaweza kufanya madhara makubwa kwenye environment. Frequency ya kupasuka sio muhimu. Muhimu ni kuwa pipeline kama hili likipasuka litafanya madhara makubwa kwa mazingira hata kama litapasuka mara moja tu

Sisi hizi pipeline siyo mara ya kwanza kuwa nazo. Tuna TAZAMA ya miaka mingi sana na technology ya zamani, haijawahi pasuka. Sasa sembuse hili bomba la miaka ya 2020!!?
Wale NGO uchwala ambazo zinaishia Ltd. Sijui ni limited liability company?
 
Kwanza siku hizi wazungu wanatilia maanani sana maswala ya mazingira. Sio kama zamani. Kwa hivyo Total watakuwa very cautious na mradi huu ikiwa kutakuwa na evidence kwamba mazingira itakuwa negatively affected na mradi huu.
 
pesa zao,mafuta na usafirishaji wao mabeberu
nauliza hivii iyo ngo ilifanya environmental assessment lini na wapi kujua uharibifu wa mradi kwa mikoa8 wilaya 22 vijiji zaidi ya 200 na urefu wa km1400?
 
Hakuna wa kuizuia sisi ni Tanzania
 
pesa zao,mafuta na usafirishaji wao mabeberu
nauliza hivii iyo ngo ilifanya environmental assessment lini na wapi kujua uharibifu wa mradi kwa mikoa8 wilaya 22 vijiji zaidi ya 200 na urefu wa km1400?

Hivi umesoma na kuelewa kinachosemwa au ndio yale ya lugha gongana mpaka mnakua kama yule waziri wenu Kabudi aliyekurupuka pale Tz inahojiwa namna gani mumetumia msaada wa corona, anajibu jinsi Tanzania ilipigana Comoros, DRC na sijui vitu gani, kabwatuka kama aliyedungwa sindano ya unga.
 
Yaani wewe na bichwa maji lako ndo unamtaja the Extra Ordinary Prof. Kabudi kijinga hivyo.
😁😁😀
 
nmejibu kiujumla!! ni jukumu lako kujiongeza
hayo ya kabudi huyaelewi so yaache tuu...
 
Gazeti kimbelembele hili sijui la nchi gani,linafalsafa Fulani hivi..........
 
NGO gani hizo ambazo ni limited companies?
 
Jaribuni kugusa NGO yoyote muone Wazungu wakifungia mifereji wa misaada mnayopokea.
Mtakua lini na akili? Mtaendelea kuwa mbwa wa wazungu hadi lini? Unajua lengo kubwa la kupewa misaada ni nini? Unajua madhara ya misaada kiuchumi?
 
Kwani hilo ndio bomba la kwanza duniani la kusafirisha mafuta ghafi kujengwa? Na kama sio hayo mengine yaliyo tangulia kwanini yasingezuiliwa kujengwa kwa kigezo icho icho?
 
Nikajua kesi wamewasilisha kwenye mahakama za Tanzania aka 'Kangaroo Courts'. Ingekula kwao maanake uzoefu wa majaji wa Tz kisheria ni kwenye zile kesi zao pendwa za 'kuhujumu uchumi'.
 
After dredging work is completed, construction of 2 berths at Tanga port has began!

MY TAKE
All this is before construction of Uganda pipeline n crude oil terminal at Chongoleani starts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…