Hii elimu ya bongo mbona inanitisha!!!!!!

Hii elimu ya bongo mbona inanitisha!!!!!!

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Jaman polen nakaz kwa wale waliobahatika kuajiliwa.na wale ambao wamejiajir.kwa wale wezangu na mimi 2naosoma kama mimi 2kazana one day yes----kuna ki2 kimoja kinanisumbua sana kichwani mwangu.why wa2 wasome mpaka huko juu(degree.mastaz nk)mwisho wakakosa kazi?je sisi 2naosoma 2nachukua picha gan kama si kukata tamaa ya masomo maana kuna kaka ze2 weng wapo mitaan na walikuwa wanauwezo wakimasomo.but now nipo first year ardhi unversity lakn nikichek soko la ajira nakata tamaa kabisa ya masomo.sasa wana JF 2fanye nin ili2ondoe tatizo hili ktk nchi ye2 iliyopoteza mwelekeo na inaelekea kwenye shimo baya?
 
hapo kwenye red kweli imedhihirika upo first year..................kazana na masomo.
 
so ulijua nimekuja kudanganya wa2.kama umeelewa toa maon 2okoe taifa.kwan nimekosea au
 
Dawa ni kutengeneza ajira.

Ni kweli kabisa, kwa mtu mwenye degree kufikiria kuajiriwa/kutumikishwa ni jambo la aibu sana. Kuna tatizo somewhere kwenye hii elimu. Kama darasa la 7, form 4 au form 6 anaweza kujiajiri na kufanikiwa, msomi kazubaa vijiweni kutafuta kazi! shame upon the scholars!
 
Wewe unasoma ardhi course gani? Maana kile chuo vijana wakiwa 3rd year wanapata michongo ya kufanya,mfano course ya real estate karibu wote wapo NHC pale,mi kuna wadogo zangu wanasoma hiyo,ila kwa wewe ni mapema sana kuwaza hizi ishu,nina maanisha unaweza kupoteza peace of mind halafu ikaathiri juhudi zako katika masomo.

Cha msingi soma kwa bidii na hicho chuo bado soko lake la ajira halijawa flooded maana ardhi na majengo ni vitu endelevu na wataalamu wa hayo mambo wanapatikana hapo ardhi university na sio pengine.KOMAA DOGO YOU WILL MAKE IT.
 
Tatizo lenu mnawaza kuajiriwa tu,

Hili ndo tatizo kubwa, elimu ya Kibongo haimuandai kijana kuwa mwelewa,
ili aje ashindane kwenye soko la ajira na vijana wenzie wa mataifa mengine
ila inamfanya awe tegemezi katika kusubiri kuajiriwa, na ajira wengi wetu
tunaitafsiri kuwa ni kuajiriwa serikalini au kwenye taasisi binafsi tu lakini
kujiajiri wenyewe (ujasiamali) hatuoni kama ni ajira. Ni aibu kwa msomi kama
huyu kuanza kulilia ajira akiwa mwaka wa kwanza tu...
 
Back
Top Bottom