Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
DR Mambo Jambo ,tupe ukweli kuhusu hii kitu, inawezekana tulidanganywa!

Donald Trump has chosen Robert F Kennedy Jr as his new health secretary

Mr Kennedy - a known vaccine sceptic - previously claimed Mr Trump would push to remove fluoride from drinking water on his first day in office.

=============
Donald Trump has chosen vaccine sceptic Robert F Kennedy Jr as his new health secretary and said he will do "unbelievable things".

The news was announced by Donald Trump Jr on X, before the president-elect confirmed the appointment just moments later.

Former Democrat RFK Jr, the nephew of former president John F Kennedy, had been running as an independent presidential candidate but dropped out of the race and endorsed Mr Trump in August.

In return for Mr Kennedy's support during the election, president-elect Trump pledged to give him a "big role" - and RFK Jr's preference for the health position was widely reported.

Mr Trump spoke on Thursday night at a gala, hosted at his Mar-a-Lago retreat in Florida, which included tech billionaire Elon Musk and actor Sylvester Stallone.

Directly addressing RFK Jr, who was in the audience, Mr Trump said: "We want you to come up with things... and ideas... and what you've been talking about for a long time. I think you're going to do some unbelievable things. Nobody's going to be able to do it like you."

The health and human services (HHS) department includes the Food and Drug Administration, the Centers for Disease Control and Prevention, Medicare, Medicaid and the National Institutes of Health.

RFK Jr will "restore these Agencies to the traditions of Gold Standard Scientific Research, and beacons of Transparency, to end the Chronic Disease epidemic, and to Make America Great and Healthy Again," the president-elect wrote on X.

Donald Trump and Robert F Kennedy Jr in October during the presidential campaign. Pic: Reuters

Mr Trump added: "For too long, Americans have been crushed by the industrial food complex and drug companies who have engaged in deception, misinformation, and disinformation when it comes to Public Health.

"The Safety and Health of all Americans is the most important role of any Administration."Mr Kennedy is a known vaccine sceptic who has repeated misinformation on multiple occasions, including the discredited theory that childhood immunisations cause autism.

The RFK Jr-led health department will "play a big role in helping ensure that everybody will be protected from harmful chemicals, pollutants, pesticides, pharmaceutical products, and food additives that have contributed to the overwhelming Health Crisis in this Country," the president-elect added.

Earlier, his son Donald Trump Jr was the first to confirm the appointment, writing on X: "Robert F Kennedy Jr will be The Secretary of Health and Human Services! Promises Made Promises Kept."

RFK Jr's position will need to be confirmed with a Senate vote - but even with the chamber under Republican control, his appointment may face opposition because of his views on health issues.

Before Mr Trump announced his choice, Mr Kennedy had already claimed the new president would push to remove fluoride from drinking water on his first day in office. The addition of the compound has been cited as helping to improve dental health.

The department RKF Jr is hoping to oversee has more than 80,000 employees across the United States.

SKY NEWS
 
DR Mambo Jambo ,tupe ukweli kuhusu hii kitu, inawezekana tulidanganywa!

Donald Trump has chosen Robert F Kennedy Jr as his new health secretary

Mr Kennedy - a known vaccine sceptic - previously claimed Mr Trump would push to remove fluoride from drinking water on his first day in office.

Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..

Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..

Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...

Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?

Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..

Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...

Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..

Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..

Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..

Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa

na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....

Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..

So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
 
Fluoride ni kemikali inayotumika kwenye maji ya kunywa na bidhaa za meno kama dawa ya meno ili kusaidia kuzuia kuoza kwa meno.

Lakini, inapotumika kupita kiasi, fluoride inaweza kuwa na madhara kwa afya.

1. Fluorosis ya Meno: Hii ni hali inayosababisha madoa meupe, kahawia, au mipasuko midogo kwenye meno, inayotokea hasa kwa watoto wanaopata kiwango kikubwa cha fluoride wakati wanakua. Ingawa sio hatari kwa afya, fluorosis inaweza kuathiri muonekano wa meno.

2. Fluorosis ya Mifupa: Matumizi ya muda mrefu ya fluoride kwa viwango vikubwa yanaweza kusababisha hali ya mifupa kuwa ngumu kupita kiasi, na kwa muda mrefu, mifupa inaweza kuwa dhaifu na yenye maumivu.

Fluorosis ya mifupa mara nyingi hutokea kwa watu wanaopata kiwango kikubwa cha fluoride kwa muda mrefu, hasa kwa wale wanaokunywa maji yenye viwango vya juu vya fluoride.

3. Kushusha IQ kwa Watoto: Baadhi ya tafiti zimeonesha uhusiano kati ya viwango vya juu vya fluoride katika maji na upungufu wa IQ kwa watoto.

Hata hivyo, matokeo haya bado yanahitaji utafiti zaidi ili kwa uthibitisho wa uhakika usiopingwa na pande zote.

Kwani kuna mchanganyiko wa mambo mengine kama lishe na mazingira ambayo yanaweza pia kuchangia.

4. Athari za Kinga za Moyo na Figo: Utafiti unaonesha kuwa watu wenye magonjwa ya figo wanapaswa kuwa waangalifu na kiwango cha fluoride wanachokula, kwani figo inaweza kushindwa kuchuja fluoride kutoka mwilini.

Pia, kuna wasiwasi kwamba fluoride kwa kiwango kikubwa inaweza kuathiri utendaji wa moyo na mishipa.

5. Changamoto za Homoni: Fluoride inahusishwa na athari kwenye mfumo wa homoni, hasa kwenye tezi ya thyroid.

Inasemekana kuwa kiwango cha juu cha fluoride kinaweza kusababisha kupungua kwa homoni za thyroid, jambo linaloweza kusababisha matatizo kama uchovu, uzito wa mwili kuongezeka, na mfadhaiko.

Kwa ujumla, wakati fluoride inapotumika kwa viwango vinavyopendekezwa, inachukuliwa kuwa salama na yenye faida kwa afya ya meno.

Hata hivyo, inapotumika kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu, inaweza kuleta madhara hayo kwa afya.

Ova
 
Unaposema Inapotumika Kupita Kiasi unamaanisha nini?
Nini Ni kupita Kiasi kwako?
Kiasi gani utakiita Kupita Kiasi..

Kama Unamiaka Chini ya 40 basi ni kwamba Miaka yako yote Tangu umezaliwa Umekuwa Ulitumia Fluoride kwenye maji unayokunywa na Kwenye Dawa ya Meno..
Mpaka Leo Hiyo accumulation ya Fluoride Huwezi Kuiconsider Toxicity??
 
Why you all worried about things and conspiracies ambazo haziexist...

Flouride inazuia meno kuoza... Kiwango kisizidi 1.5mg per ltre of water..(WHO) as the adage goes anything excess is harmful..

Kama Floride ni issue wale wabarbaig kule manyara wana akili gani?

Nchi nyingi za Africa ndio kuna primitive population ya kutosha na hawajui hiyo floride lakini IQ yao ipo ngapi? (Lowest in the world)

Floride ipo naturally kwenye ardhi na utaila upende usipende hizi mingine ni bla bla

Vipo vingi sana vya kuogopa na Flouride kwenye maji na dawa ya meno is not one of them..

Duniani wenye nguvu wana control 3 things ...
1.Food
2.Energy
3.Pharmaceuticals...

Sasa kote huko kuna sumu za kutosha na za lazima, kama huo mchele wa GMO tunaokula kila mtu anaota kitambi na kutufanya tuish maisha mafupi with very high Premature death worldwide...

Trump anawakomesha wabaya wake kwa ku approve conspiracies kufanya kazi....

Baadhi ni kina Gates, Soros,Deep state na Establishments nyingi ambazo zilifanya kampeni za maksudi kumzuia kuwa rais... Hana issue yeyote... Siasa chafu tu, nao watamjibu, soon or later...

Muda utasema.
 
Unaposema Inapotumika Kupita Kiasi unamaanisha nini?
Nini Ni kupita Kiasi kwako?
Kiasi gani utakiita Kupita Kiasi..

Kama Unamiaka Chini ya 40 basi ni kwamba Miaka yako yote Tangu umezaliwa Umekuwa Ulitumia Fluoride kwenye maji unayokunywa na Kwenye Dawa ya Meno..
Mpaka Leo Hiyo accumulation ya Fluoride Huwezi Kuiconsider Toxicity??
Ninaposema 'inapotumika kupita kiasi,' nazungumzia hali ambayo kiwango cha fluoride kinazidi mipaka inayopendekezwa na wataalam wa afya kwa usalama.

Kwa kawaida, kiwango cha 0.7 - 1.2 mg/L (miligramu kwa lita) kwenye maji ya kunywa ndicho kinachopendekezwa na WHO na mashirika mengine ya afya kama salama na kinachosaidia kuzuia kuoza kwa meno bila madhara ya kiafya.

'Kupita kiasi' pia kunamaanisha kutumia kiwango cha fluoride kinachozidi ushauri wa kiafya kwa muda mrefu (miaka kadhaa).

Na kwa watu walio katika maeneo yenye kiwango cha juu cha fluoride kwenye maji ya kunywa (zaidi ya 1.5 mg/L), hatari ya kuathirika kwa afya inaweza kuongezeka.

Kwa mfano, katika mikoa yenye fluoride ya asili ya juu, kama vile Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Dodoma, watu wameathirika na matatizo kama fluorosis ya meno na mifupa.

Na kuhusu mkusanyiko wa fluoride mwilini, tafiti zinaonesha, kiwango cha kawaida kinachopatikana kwenye maji ya kunywa na dawa za meno hakihusiani na athari mbaya kwa watu wengi.

Kiwango kinachozingatiwa kuwa salama kimewekwa na kufuatiliwa ili kupunguza hatari ya madhara sugu, na Shirika la Usalama wa Mazingira la Marekani (EPA) linashauri kiwango cha juu cha 4 mg/L kwenye maji kama kiwango kinachoweza kuvumilika kwa muda mrefu kwa watu wazima bila madhara makubwa.

Kuhusu suala la accumulation, tafiti nyingi zinaonesha kuwa mwili unachuja fluoride nyingi kupitia figo, na kiwango kinachobaki mwilini ni kidogo.

Hata hivyo, watu wenye shida ya figo wanaweza kuwa na hatari kubwa ya mkusanyiko huu, hivyo wanashauriwa kuwa makini na kiwango cha fluoride wanachopata.

Kuna Kitu nimezungumzia umekisahau..
Sijazungumzia Kutumia kiasi kikubwa Nimezungumzia Accumulation..

Lets Say Kila Siku Unakunywa Kidonge kimoja cha Panadol kwa Miaka 20..

Kumbuka unakunywa The Amount ambayo Sio Hamful ila kwa Accumulation ya Miaka Mingi Conseculively means Upo kwenye Athari kubwa Sana ya Kupata Renal Failure kutokana na Accumulation ya Hiyo dawa...

Na Kingine Kwenye Toxicity ni Bora sumu ya Mara Moja kuliko Accumulation Of Toxic within Time
 
Fluoride ni kemikali inayotumika kwenye maji ya kunywa na bidhaa za meno kama dawa ya meno ili kusaidia kuzuia kuoza kwa meno.

Lakini, inapotumika kupita kiasi, fluoride inaweza kuwa na madhara kwa afya.

1. Fluorosis ya Meno: Hii ni hali inayosababisha madoa meupe, kahawia, au mipasuko midogo kwenye meno, inayotokea hasa kwa watoto wanaopata kiwango kikubwa cha fluoride wakati wanakua. Ingawa sio hatari kwa afya, fluorosis inaweza kuathiri muonekano wa meno.

2. Fluorosis ya Mifupa: Matumizi ya muda mrefu ya fluoride kwa viwango vikubwa yanaweza kusababisha hali ya mifupa kuwa ngumu kupita kiasi, na kwa muda mrefu, mifupa inaweza kuwa dhaifu na yenye maumivu.

Fluorosis ya mifupa mara nyingi hutokea kwa watu wanaopata kiwango kikubwa cha fluoride kwa muda mrefu, hasa kwa wale wanaokunywa maji yenye viwango vya juu vya fluoride.

3. Kushusha IQ kwa Watoto: Baadhi ya tafiti zimeonesha uhusiano kati ya viwango vya juu vya fluoride katika maji na upungufu wa IQ kwa watoto.

Hata hivyo, matokeo haya bado yanahitaji utafiti zaidi ili kwa uthibitisho wa uhakika usiopingwa na pande zote.

Kwani kuna mchanganyiko wa mambo mengine kama lishe na mazingira ambayo yanaweza pia kuchangia.

4. Athari za Kinga za Moyo na Figo: Utafiti unaonesha kuwa watu wenye magonjwa ya figo wanapaswa kuwa waangalifu na kiwango cha fluoride wanachokula, kwani figo inaweza kushindwa kuchuja fluoride kutoka mwilini.

Pia, kuna wasiwasi kwamba fluoride kwa kiwango kikubwa inaweza kuathiri utendaji wa moyo na mishipa.

5. Changamoto za Homoni: Fluoride inahusishwa na athari kwenye mfumo wa homoni, hasa kwenye tezi ya thyroid.

Inasemekana kuwa kiwango cha juu cha fluoride kinaweza kusababisha kupungua kwa homoni za thyroid, jambo linaloweza kusababisha matatizo kama uchovu, uzito wa mwili kuongezeka, na mfadhaiko.

Kwa ujumla, wakati fluoride inapotumika kwa viwango vinavyopendekezwa, inachukuliwa kuwa salama na yenye faida kwa afya ya meno.

Hata hivyo, inapotumika kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu, inaweza kuleta madhara hayo kwa afya.

Ova
Mbona watu wa Arusha wana IQ kubwa??
 
Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..

Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..

Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...

Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?

Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..

Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...

Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..

Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..

Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..

Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa

na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....

Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..

So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
Watu wengi sana bongo hawatumii dawa za mswaki, wana maji yasiyo na fluoride lakini wana haya matatizo yako yote.
Conspiracies tu.
 
Mbona watu wa Arusha wana IQ kubwa??
High fluoride levels sana sana kwenye drinking water inakuwa linked na Highly potential negative effects on cognitive development na intelligence moja kwa moja na zipo studies za Kusupport Ninachosema...

Kuongezeka matumizi ya Fluoride during childhood development, can affect the brain. Some research suggests that high fluoride exposure can lead to neurotoxic effects, which may impair brain function, potentially contributing to lower IQ levels.

Sasa Ukiniuliza Kuhusu Watu Kutoka Arusha Nitakushangaa Sana Na mimi Nitakuuliza Unazungumzia Arusha IPI?
Hawa Wadudu?
Au wapi Hawa watu wa Ngarenaro au Arusha Ipi Hawa vijana ambao hata Kuvaa kwao unawwza ukasema Ukasema umepishana na Kichaaa..
"Nulla offensa" (No offences)
 
Watu wengi sana bongo hawatumii dawa za mswaki, wana maji yasiyo na fluoride lakini wana haya matatizo yako yote.
Conspiracies tu.
Una Uhakika Hutumii Maji yasiyo na Fluoride???
Unaukakima Maji yetu hayafanyiwi Fluoridation? Au Ni kwamba Huambiwi tu kuwa maji yanafanyiwa hivyo??

Umewahi kusikia Treatment of water??
Unafikiri Kwanini Kuna mamlaka za Maji?
Ni kwa ajili ya Kuuza maji tu sio?

Na kingine Wapi wasiotumia Dawa ya Mswaki Mkuu huko na mimi Niende Nikaishi?😅🙌

Hapo sasa wewe Ndo unaCompire ili Uendane na Theory zako unazoamini ila Tukipiga Kura na kuangalia wanaotumia Dawa ya Mswaki na Maji ni 95% ya watanzania wote
 
Mamilioni ya Watanzania bado hawana maji ya bomba, wanatumia maji ya mto, ziwa au madimbwi. Mamilioni ya Watanzania wanapokea pesa za TASAF hazitoshi kununua dawa ya mswaki.
 
Back
Top Bottom