DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Una Uhakika Unachokisema?Mamilioni ya Watanzania bado hawana maji ya bomba, wanatumia maji ya mto, ziwa au madimbwi. Mamilioni ya Watanzania wanapokea pesa za TASAF hazitoshi kununua dawa ya mswaki.
Maana Kuna Kipindi kulikuwa na Daw za Aha Mpaka Za Pakti ya Shilingi 50 ya Dawa ya Mswaki..
Maji ya Mto na madimbwi ni hatari hata Kuliko Maji ya Kawaida maana hata Hiyo fluoride haijapimwa kuonekana Ipo.kiasi gani!
Nakumbuka Kuna Mwaka walipima Maji ya Mkoa wa Geita kipindi hicho ilikuwa Wilaya chini ya Mkoa wa Mwanza walikuta Maji ya Visima yana Mercury Ya kutosha..
So tusidanganyane kwenye mahali pa Ukweli..
Sensa y mwaka 2022 Imesema Hali tifauti na Unachossma Hapo juu Jaribu kuipitia Sensa Hiyo.kuliko Kutoa Takwimu za Uongo kwa ajili ya Conspire na Imani yako