Kuna mtindo fulani wa maisha wanayoishi ndiyo, hasa vijana.
Lakini swali langu linabaki kuwa je ni sahihi kuhitimisha kwamba hao wakazi wa Arusha cognitive behavior yao haiko sawa kwa sababu ya fluoride? Are there no cofounders? Au hata vitu vingine tofauti kabisa na fluoride?
Arusha Ni eneo lenye High level of Fluoride kwa Tanzania
The level of fluoride in Arusha, Tanzania iko Juu sana ambayo kwenye Water sources ina containing up to 30 milligrams per liter (mg/L)..
Tukianza na Arusha yenyewe studies ya 22 water sources in Arusha city ilifanyika na Kugundua kuwa fluoride concentration in spring water ranged from 4.1 to 5.3 mg/L, na Mito ina concentration of 3.6 mg/L. Wakati huo Boreholes au Visima Vya kuchimba vina fluoride concentration ranging from 4.97 to 8.2 mg/L.
Sasa Tukienda huko Meru, Longido, and Arusha Rural districts
Hizi wilaya zote ndo zina highest concentration of fluoride in Tanzania, with natural water reserves contaminated between 5 and 30 mg/L.
Cha kushangaza Tanzania Bureau of Standards (TBS)
Wamerecommend fluoride content zisizidi 4 mg/L, Sijui walifikiria Nini kuRuhusu Hiki kiasi Anywei tuwaschie wao Ila kiasi cha World Health Organization (WHO)ilichorecommend ni kwamba Fluoride isizidi 1.5 mg/L...
Sasa tuache Hizo preamble na Study nilizokuonyesha..
Moja ya Sababu za Kuwa na Incognitive Behavior na Kuwa na low IQ developemnt ni Matumizi makubwa ya Fluoride...
Sasa unataka Niamini Kuwa Kuna Njia nyingine inayowafanya watu wa Arusha kuwa psychs Incognito, Nionyeshe Ikiwa Ni tofauti na Hizo Studies..
Kwa mfano:-
Iaminike kwamba Kinachosababisha joto Dar es salaam ni kuwepo kwa Bahari, Viwanda na Msongamano wa Watu!
So ukikatataa Hizo sababu pengine Unaweza kuleta Sababu ambazo ziko correlated na Maoni yako Its scientific Proof against scientific Proof..
Tanzania Nzima Ukitaka Vijana ambao ni funny kwa Jinsi Walivyo iwe vijana iwe wazee Walivyo tu sisi Huwa Tunafurahi na kucheka utaambiwa Arusha..
Wewe unaita Watu wa Arusha ule ni mtindo wa Maisha??? Ule ni mtindio sio mtindo