Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Tumeanza kupewa na nani wakati sehemu nyingi tu Flouride iko kwenye maji ambayo hayajaguswa kabisa na serikali??
Mbona Arusha wenye meno yaliyooza wanafauli kuliko sehemu nyingi sana za nchi zenye wanafunzi wenye meno meupe??
Bila shaka utakuwa ni mtu wa Arusha (Prejudice).
Weka utafiti Wako hapa [Thesis] ili tuusome.
 
Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..

Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..

Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...

Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?

Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..

Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...

Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..

Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..

Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..

Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa

na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....

Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..

So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
Al habib hii ni useless conspiracy theory,tumeishi kipindi kirefu bila fluoride na watu walikua na imani zao,walitawaliwa nk
 
Hakika DR Mambo Jambo hii ina ukweli asilimia zote, japo kwa Tanzania hapa kila kukicha watu wanazidi kupoteza thamani zao kwa kuendekeza uchawa
Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..
 
Al habib hii ni useless conspiracy theory,tumeishi kipindi kirefu bila fluoride na watu walikua na imani zao,walitawaliwa nk
Soma Mpaka Mwisho Mkuu Usisome Kistari cha kwanza Ukatoa Conclusion maana Kati yangu na Wewe Wewe Ndo unayecompire sasa hivi kwa Kutengeneza Ulichohisi Nimeandika Soma mpaka Mwisho utoe Conlusion uliyosema
 
Sasa Nimekuelewa..
Unachanganya kati ya mental health issues na cultural practices ambazo huenda due to lack of awareness or professional intervention Over time Tanzania communiytt imezi normalize these issues as part of their culture, Na ikaonekana kama Ni sawa tu kama Ni culture yao Nikuambie Tu hakuna Culture ya Mtu kuwa na tatizo la Akili..

Walichonacho Arusha ni Mass Mental Instability, na kiko tofauti na Cultural Aspects! (Ambazo umezizungumza Kupitia hizo kanda)..

Uzuri wa Cultural Aspects zina Asili na mwanzo wake Sasa Hebu niambie Mwanzo wa Utahira wa Watu wa Arusha Ulianza lini?

Uzuri wa Cultural Aspects huwezi kuathiri eneo kubwa Sana Kikanda hata Eneo zaidi ya kanda kama ulivyosema hapo juu Kiswahili, watu wa Pwani na hata mauaji ya Vikongwe zote hizi Ni widespread kwenye Eneo kubwa sana Unapozungumzia Pwani unaongelea Mikoa si chini ya 5..

Unapozungumzia Kanda ya Ziwa na mauaji ya Vikongwe unazungumzia Mikoa Si chini ya 5 unapozungumzia Kiswahili cha Kenya na Tanzania unazungumzia Mikoa Si chini ya 27..

Sasa Hujiulizi kwanini Hizo Tamaduni za Arusha Hazijavuka Hata Kilimanjaro au Kufika hata Tanga tu?
Kwamba Wao ndo wawe na Tamaduni za Kijinga thats Mass Mental Instability na Kutokana na Watu kuogopa Kusema Tatizo limeanza kuchukuliwa kama Normal..

Sasa Hii ndo tofauti ya Mass Mental Instability na CULTURAL ASPECTS NIMEKUCHAMBULIA HAPA CHINI..

View attachment 3152748
Kwa nini jambo la mkoa mmoja ndio iwe "mass" Instability lakini jambo la mikoa mitano iwe utamaduni?
Watu wa Tanga wanvyodaiwa kupenda mapenzi kuliko kazi ni Mass Instability ?
 
Nimekupa.maana Ya Utamaduni na Nguzo zake Ili uitwe Utamaduni..

Hakika Ni Mass Instability Mimi Ni mzanzibar ambae Nusu ya Maisha yangu nimeishi Tanga baada ya Sisi Kuamia Tanga Miaka ya 80s..

Hakina Tanga Ni wagonjwa wa Akili na Kweli wanajiona Wanapenda na Kujua mapenzi na wamejirithisha Ujinga huo na ndo maana Ukina Dar Vijana wengi wa Kisambaa ndo wanatudhalilisha kwa Kulelewa na Kusababisha Viben 10 kuzidi Mjini..
Mass Instability Yes, Ukiishi Tanga Utajua Kuna Mass Instabjlity
 
Kwa hiyo inayodaiwa kuwa Instability ya aina hiyo huko Tanga imesabibishwa na Flouride??
 
Hakuna Mahali nimekuambia Kuhusu Uwepo wa Fluoride Kwenye Mkoa wa Tanga..
Tanga Ina aprpximately kuwa na 1mg/L ya Fluoride In Drinking water..
Ambayo Iko chini kabisa ya Kiwango ambacho WHO imerecomend cha 1.5Mg/L na Chini kabisa ya Kiwango walichoweka TBS Cha 4mg/L

So Huwezi kuihusisha Tanga na Fluoride wakati ina kiwango kidogo sana..
Ukilinganisha na Arusha concentration ambayo inafika mpama 30mg/L
 
Arusha Ni eneo lenye High level of Fluoride kwa Tanzania

The level of fluoride in Arusha, Tanzania iko Juu sana ambayo kwenye Water sources ina containing up to 30 milligrams per liter (mg/L)..

Tukianza na Arusha yenyewe studies ya 22 water sources in Arusha city ilifanyika na Kugundua kuwa fluoride concentration in spring water ranged from 4.1 to 5.3 mg/L, na Mito ina concentration of 3.6 mg/L. Wakati huo Boreholes au Visima Vya kuchimba vina fluoride concentration ranging from 4.97 to 8.2 mg/L.

Sasa Tukienda huko Meru, Longido, and Arusha Rural districts
Hizi wilaya zote ndo zina highest concentration of fluoride in Tanzania, with natural water reserves contaminated between 5 and 30 mg/L.

Cha kushangaza Tanzania Bureau of Standards (TBS)
Wamerecommend fluoride content zisizidi 4 mg/L, Sijui walifikiria Nini kuRuhusu Hiki kiasi Anywei tuwaschie wao Ila kiasi cha World Health Organization (WHO)ilichorecommend ni kwamba Fluoride isizidi 1.5 mg/L...

Sasa tuache Hizo preamble na Study nilizokuonyesha..
Moja ya Sababu za Kuwa na Incognitive Behavior na Kuwa na low IQ developemnt ni Matumizi makubwa ya Fluoride...

Sasa unataka Niamini Kuwa Kuna Njia nyingine inayowafanya watu wa Arusha kuwa psychs Incognito, Nionyeshe Ikiwa Ni tofauti na Hizo Studies..

Kwa mfano:-
Iaminike kwamba Kinachosababisha joto Dar es salaam ni kuwepo kwa Bahari, Viwanda na Msongamano wa Watu!

So ukikatataa Hizo sababu pengine Unaweza kuleta Sababu ambazo ziko correlated na Maoni yako Its scientific Proof against scientific Proof..

Tanzania Nzima Ukitaka Vijana ambao ni funny kwa Jinsi Walivyo iwe vijana iwe wazee Walivyo tu sisi Huwa Tunafurahi na kucheka utaambiwa Arusha..

Wewe unaita Watu wa Arusha ule ni mtindo wa Maisha??? Ule ni mtindio sio mtindo
Uliyosema yote mkuu yanaonyesha kwambo ipo conspiracy inayoendelea against humanity na organizations kama TBS ni collaborators au kwa kujua au kutokujua.And may be I should repeat this ili i-sink in,hakuna level yeyote ya Fluoride ambayo ni salama,ni dangerous at any concentration.Na kuhusu WHO?Well, to me it is a terrorist organization which should not have a place in human health anywhere around the World.
 
Kabisa Na nakubaliana na wewe Kabisa Japo ni Nguvu nyingi inatumika Kutetea ila Fluoride hairuhusiwi kufanyiwa Matumizi au Kuwa kwenye matumizi kwa Watu
 
Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..

Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..

Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...

Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?

Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..

Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...

Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..

Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..

Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..

Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa

na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....

Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..

So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
Dokta mi naogopa 🧐
 
Soma Mpaka Mwisho Mkuu Usisome Kistari cha kwanza Ukatoa Conclusion maana Kati yangu na Wewe Wewe Ndo unayecompire sasa hivi kwa Kutengeneza Ulichohisi Nimeandika Soma mpaka Mwisho utoe Conlusion uliyosema
Nimesoma mpaka mwisho,hilo la kuathiri ukuaji huenda kweli,lakini bibi yangu aliolewa akiwa na miaka 14,1947,maana yake alionesha dalili zote za kuwa kapevuka,mwaka mmoja baadae alijifungua,hakuwa mtumiaji wa dawa za meno zenye fluoride
 
Kuna Factor Nyingi sana Zinaongeza Ukuaji wa Mtu au Kupevuka kwa Mtu.sio tu Fluoride..

Ila kwa Zamani Msichana mwenye Miaka 13 Ni mkubwa sana na anakuwa Meshapevuka Kuolewa
 
Back
Top Bottom