Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Arusha Ni eneo lenye High level of Fluoride kwa Tanzania

The level of fluoride in Arusha, Tanzania iko Juu sana ambayo kwenye Water sources ina containing up to 30 milligrams per liter (mg/L)..

Tukianza na Arusha yenyewe studies ya 22 water sources in Arusha city ilifanyika na Kugundua kuwa fluoride concentration in spring water ranged from 4.1 to 5.3 mg/L, na Mito ina concentration of 3.6 mg/L. Wakati huo Boreholes au Visima Vya kuchimba vina fluoride concentration ranging from 4.97 to 8.2 mg/L.

Sasa Tukienda huko Meru, Longido, and Arusha Rural districts
Hizi wilaya zote ndo zina highest concentration of fluoride in Tanzania, with natural water reserves contaminated between 5 and 30 mg/L.

Cha kushangaza Tanzania Bureau of Standards (TBS)
Wamerecommend fluoride content zisizidi 4 mg/L, Sijui walifikiria Nini kuRuhusu Hiki kiasi Anywei tuwaschie wao Ila kiasi cha World Health Organization (WHO)ilichorecommend ni kwamba Fluoride isizidi 1.5 mg/L...

Sasa tuache Hizo preamble na Study nilizokuonyesha..
Moja ya Sababu za Kuwa na Incognitive Behavior na Kuwa na low IQ developemnt ni Matumizi makubwa ya Fluoride...

Sasa unataka Niamini Kuwa Kuna Njia nyingine inayowafanya watu wa Arusha kuwa psychs Incognito, Nionyeshe Ikiwa Ni tofauti na Hizo Studies..

Kwa mfano:-
Iaminike kwamba Kinachosababisha joto Dar es salaam ni kuwepo kwa Bahari, Viwanda na Msongamano wa Watu!

So ukikatataa Hizo sababu pengine Unaweza kuleta Sababu ambazo ziko correlated na Maoni yako Its scientific Proof against scientific Proof..

Tanzania Nzima Ukitaka Vijana ambao ni funny kwa Jinsi Walivyo iwe vijana iwe wazee Walivyo tu sisi Huwa Tunafurahi na kucheka utaambiwa Arusha..

Wewe unaita Watu wa Arusha ule ni mtindo wa Maisha??? Ule ni mtindio sio mtindo
Sijakataa kwamba maji ya Arusha hayana fluoride nyingi. Hilo liko wazi sana hata bila kuweka takwimu (figures).

Daktari generalization yako kwamba watu wa Arusha wana mtindio is based on the fact that Arusha's water has high fluoride concentration.

Swali ni kwamba is there a single specific study done to assess impact of high fluoride concentration on cognitive behavior development among Arusha dwellers na ikaonyesha kwamba wana impaired cognition only kwa sababu ya high fluoride concentration?

Kama hakuna then it's not only possible but also not right to reach such a conclusion by referring to other related studies done elsewhere.

Otherwise I agree if you say it's an hypothesis to tested!
 
Una Uhakika Maendeleo yamechangiwa na Wao au Na watu kutoka Sehemu mbalimbali..

Tanzania Hatuna serikali za Majimbo Hivyo kusema Sehemu moja Inamaaendeleo kuliko Sehemu nyingine Haiwezi kuwa sawa..

Mfano mzuri ungekuwa ni kwenye Nchi yenye Federal United of states..Kama Marekani hivi ambapo Majimbo yanajitegemea..
Ila Tanzania Yenye mikoa ambayo Bajeti yake inategemea Serkali kuu ifanye maendeleo hatuwezi kuwa na Ulinganishi huo kuwa Kwanini Dar Ina maendeleo kuliko Dodoma!

Hichi ni kipaumbele cha Serkali kwa Sababu Arusha Kuna Sehemu nyingi za Kitalii zipo kule Watalii wengi huenda Huko na Hata tukizungumzia Binadamu wa Kwanza kuishi alipatikana Pia Arusha usisahau hilo..

Kwa hiyo kwakuwa Ni kitovu cha Utalii Basi ikawa Ni Kipaumbele cha Serikali..

Lets Not forget Dodoma Ilivyokuwa Before Magufuli Kuhamisha Kuwa Makao makuu Rasmi ya Nchi na Kuifanya Kuwa Jiji!, Ilikuwa ni Mbovu sana Niliishi pale nikilinganisha na Sasa Ni tofauti kubwa Sana..

So maendeleo ya Mkoa Hutegemea Juhudi za Nchi na Umuhimu wa Mkoa wenyewe..

Haihusiani na wakazi wa eneo husika
Mbona mikoa yenye madini kama Shinyanga na Geita hakuna maendeleo wakati madini ni kipaumbele cha serikali pia??
 
Nguvu ya Pesa.
FB_IMG_1730836281095.jpg
 
Sijakataa kwamba maji ya Arusha hayana fluoride nyingi. Hilo liko wazi sana hata bila kuweka takwimu (figures).

Daktari generalization yako kwamba watu wa Arusha wana mtindio is based on the fact that Arusha's water has high fluoride concentration.

Swali ni kwamba
Swali la msingi kwanza je ni kweli watu wa Arusha wana mtindio?
Mambo gani yanaonyesha watu wa Arusha wana mtindio?
 
Unawaona Watu Arusha Kawaida kwa Jinsi walivyo??
Unatokea Mkoa gani mkuu??

Mkoa wa Shinyanga Mara ngapi Uliwahi kushika Mkia Matokeo ya Drs 7 miaka Fulani kwa Muda Mrefu mpaka walipojitahidi Kuweka Maji Kutoka Ziwa Victoria ndo baada ya Miaka kadhaa Ikarudi kwenye Nafasi za kawaida..
Maji ya Ziwa Victoria serikali haifanyi treatment ya kuweka chlorine na Flouride??
 
Sijasema Hivyo ila Nimesema Kulingana na Cognitive Behavior zao na ndo maana Nikasema "nulla offensa"...
Yaani no offense...Ila we Unawaonaje?

Mavazi Kuongea Na Jinsi wanavyojiweka "Is it mental Worth"?
Nimewaona kama wanavyoonekana, na kama vile unavyowaona lakini siwezi kufikia hitimisho moja kwa moja kwamba wako vile kwa sababu ya high fluoride concentration, kama unavyosema.

Swali langu ni kwamba kwa nini tufikie hitimisho moja kwa moja kwamba wako vile kwa sababu ya high fluoride concentration?
 
Watu wa pwani wanavyoongea is it mental worth?
Watanzania wanavyoongea ukilinganisha na Wakenya is it mental worth?
Mauaji na matukio ya kikatili kanda ya ziwa is it mental worth?
Wafia dini wanaowaamini kina Mwamposa, kiboko ya wachawi n.k wanavyoongea na kutenda is it mental worth?
Sasa Nimekuelewa..
Unachanganya kati ya mental health issues na cultural practices ambazo huenda due to lack of awareness or professional intervention Over time Tanzania communiytt imezi normalize these issues as part of their culture, Na ikaonekana kama Ni sawa tu kama Ni culture yao Nikuambie Tu hakuna Culture ya Mtu kuwa na tatizo la Akili..

Walichonacho Arusha ni Mass Mental Instability, na kiko tofauti na Cultural Aspects! (Ambazo umezizungumza Kupitia hizo kanda)..

Uzuri wa Cultural Aspects zina Asili na mwanzo wake Sasa Hebu niambie Mwanzo wa Utahira wa Watu wa Arusha Ulianza lini?

Uzuri wa Cultural Aspects huwezi kuathiri eneo kubwa Sana Kikanda hata Eneo zaidi ya kanda kama ulivyosema hapo juu Kiswahili, watu wa Pwani na hata mauaji ya Vikongwe zote hizi Ni widespread kwenye Eneo kubwa sana Unapozungumzia Pwani unaongelea Mikoa si chini ya 5..

Unapozungumzia Kanda ya Ziwa na mauaji ya Vikongwe unazungumzia Mikoa Si chini ya 5 unapozungumzia Kiswahili cha Kenya na Tanzania unazungumzia Mikoa Si chini ya 27..

Sasa Hujiulizi kwanini Hizo Tamaduni za Arusha Hazijavuka Hata Kilimanjaro au Kufika hata Tanga tu?
Kwamba Wao ndo wawe na Tamaduni za Kijinga thats Mass Mental Instability na Kutokana na Watu kuogopa Kusema Tatizo limeanza kuchukuliwa kama Normal..

Sasa Hii ndo tofauti ya Mass Mental Instability na CULTURAL ASPECTS NIMEKUCHAMBULIA HAPA CHINI..

Screenshot_20241115_101731_ChatGPT.jpg
 
Nimewaona kama wanavyoonekana, na kama vile unavyowaona lakini siwezi kufikia hitimisho moja kwa moja kwamba wako vile kwa sababu ya high fluoride concentration, kama unavyosema.

Swali langu ni kwamba kwa nini tufikie hitimisho moja kwa moja kwamba wako vile kwa sababu ya high fluoride concentration?
Umewahi kufanya Research?
Kitu cha kwanza kabla ya kwenda Kwenye Studies Huwa ni nini?

Ngoja Nikusaidie Kitu!
Kabla Hujaenda Kufanya Research kwanza unatakiwa Kujua Hasa Unaenda Kufanya nini yaani unatakiwa Uclarify your Research purpose yaani Kwa Kiswahili sahihi ni Ku Identify the problem..

(Kwa Hii case yetu lets say Ni Irrational Behavior na Incognitive Behavior za watu wa Arusha)

Ukiamaliza Fanya Abstructs na Unatkiwa UReview Other literature kuhusu Hilo tatizo watu wanasemaje kuhusu Hilo tatizo..na Limeathiri Kiasi gani na Lipo kwa Kiwango gani..

Unachotakiwa Kufanya ni Kujiuliza maswali ambayo yata Narrow Down Your scope..Kama Mbona sehemu Nyingine hakuna Hilo tatizo Liko sehemu moja tu na Mbona huyo mtu akitoka kabla hajamzaa mwanae akienda Kumzalia Sehemu nyingine Na akamelelea Sehemu nyingine anakuwa Poa..

So unagundua Huenda Mazingira Pia yanachangia..
Sasa hapa Unaformulate Hypothesis Zako Kuhusu Vitu ambavyo ni Unique vinavyoweza kuchangia Hilo tatizo ambalo ni Unique..

Kwenye Kufanya Obsevation Unagundua Kuwa sio kwamba wanatatizo hilo La mental tu pia Wanatatizo ambalo Liko Unique Taifa zima la Kuwa na Kiasi kikubwa cha Fluoride..

Sasa Unaenda Further Kureview Research kuhsuu matatizo ya Fluoride kwenye Literature zingine Unagundua Kuwa Tatizo moja wapo la Fluoride ni Kuimpare Cognitive function na kulower IQ na pia Fluorisis Toxicity..

Unarudi kuangali kama Wana athari zingine zilizotajwa unakuta wanazo Then kama Reseacher unatakiwa uhitimishe Vipi??

Tutumie Sayansi kujibu maswali.magumu kama haya Sio Upendeleo kwakuwa Wewe Ni mtu wa Huko..
 
Sijakataa kwamba maji ya Arusha hayana fluoride nyingi. Hilo liko wazi sana hata bila kuweka takwimu (figures).

Daktari generalization yako kwamba watu wa Arusha wana mtindio is based on the fact that Arusha's water has high fluoride concentration.

Swali ni kwamba is there a single specific study done to assess impact of high fluoride concentration on cognitive behavior development among Arusha dwellers na ikaonyesha kwamba wana impaired cognition only kwa sababu ya high fluoride concentration?

Kama hakuna then it's not only possible but also not right to reach such a conclusion by referring to other related studies done elsewhere.

Otherwise I agree if you say it's an hypothesis to tested!
Nakubaliana na Wewe kwamba Its Hypothetical to be tested but Unafikiri hazijawahi kufanywa Research?

Mara ngapi wanachukua Maji na kupima?
Unafikiri ni kwa sababu gani Haziwekwi wazi..

UKiweka Wazi Research kama Hizo una Declare kwamba State imeshindwa kutatua Changamoto hiyo na Hiyo ina Impose Threat to the state in Public relation as Well as International Relation..
So ni Hatari sana Kuweka wazi hizo research na ahata Serkali haiwezi tena Kuruhusu Kufanyika Hizo research..
 
Ok, sawa
 
Mbona mikoa yenye madini kama Shinyanga na Geita hakuna maendeleo wakati madini ni kipaumbele cha serikali pia??
Shinyanga Haijawahi kuwa Kipaumbele cha Taifa wala.Geita haijawahi!
Jaribu kufuatilia vizuri vipaumbele vya Taifa..na Miradi mikubwa ya Kitaifa..
Kuwa na Rasilimali haimaanishi unaweza kuwa Kipaumbele cha Taifa Mwaka 1990 mpaka 1994 Shinyanga na Dodoma Zilikuwa Sawa zote zilikuwa Manispaa na Morogoro pia..
Ila leo shinyanga na Dodoma ni Vitu viwili tofauti
 
Sijasema nahoji maswali kwa sababu sijui natoka Arusha. Wala sikujitambulisha kwamba ni mtu wa Arusha. Maswali yangu yako wazi, sijaweka upendeleo au utetezi wa aina yoyote. Ningekuwa natetea basi ningepinga na takwimu ulizoweka za level of fluoride, ambazo ni takwimu za utafiti ndiyo maana niliheshimu.

Msingi wa maswali na hoja zangu ni sayansi, ndiyo maana nimekwambia scientifically you can't reach to a conclusion bila research. Kisayansi huwezi kuhitimisha jambo kwa kufuata propaganda, ushabiki au kutetea kwa mrengo fulani.

Naitetea sayanasi na utafiti ktk kufikia hitimisho, ndio maana mwisho nimekwambia unachokisema ni Hypothetical na nashukuru umekubali hilo.
 
Umewahi kufanya Research?
Kitu cha kwanza kabla ya kwenda Kwenye Studies Huwa ni nini?

Ngoja Nikusaidie Kitu!
Kabla Hujaenda Kufanya Research kwanza unatakiwa Kujua Hasa Unaenda Kufanya nini yaani unatakiwa Uclarify your Research purpose yaani Kwa Kiswahili sahihi ni Ku Identify the problem..

(Kwa Hii case yetu lets say Ni Irrational Behavior na Incognitive Behavior za watu wa Arusha)

Ukiamaliza Fanya Abstructs na Unatkiwa UReview Other literature kuhusu Hilo tatizo watu wanasemaje kuhusu Hilo tatizo..na Limeathiri Kiasi gani na Lipo kwa Kiwango gani..

Unachotakiwa Kufanya ni Kujiuliza maswali ambayo yata Narrow Down Your scope..Kama Mbona sehemu Nyingine hakuna Hilo tatizo Liko sehemu moja tu na Mbona huyo mtu akitoka kabla hajamzaa mwanae akienda Kumzalia Sehemu nyingine Na akamelelea Sehemu nyingine anakuwa Poa..

So unagundua Huenda Mazingira Pia yanachangia..
Sasa hapa Unaformulate Hypothesis Zako Kuhusu Vitu ambavyo ni Unique vinavyoweza kuchangia Hilo tatizo ambalo ni Unique..

Kwenye Kufanya Obsevation Unagundua Kuwa sio kwamba wanatatizo hilo La mental tu pia Wanatatizo ambalo Liko Unique Taifa zima la Kuwa na Kiasi kikubwa cha Fluoride..

Sasa Unaenda Further Kureview Research kuhsuu matatizo ya Fluoride kwenye Literature zingine Unagundua Kuwa Tatizo moja wapo la Fluoride ni Kuimpare Cognitive function na kulower IQ na pia Fluorisis Toxicity..

Unarudi kuangali kama Wana athari zingine zilizotajwa unakuta wanazo Then kama Reseacher unatakiwa uhitimishe Vipi??

Tutumie Sayansi kujibu maswali.magumu kama haya Sio Upendeleo kwakuwa Wewe Ni mtu wa Huko..

Sijasema nahoji maswali kwa sababu sijui natoka Arusha. Wala sikujitambulisha kwamba ni mtu wa Arusha. Maswali yangu yako wazi, sijaweka upendeleo au utetezi wa aina yoyote. Ningekuwa natetea basi ningepinga na takwimu ulizoweka za level of fluoride, ambazo ni takwimu za utafiti ndiyo maana niliheshimu.

Msingi wa maswali na hoja zangu ni sayansi, ndiyo maana nimekwambia scientifically you can't reach to a conclusion bila research. Kisayansi huwezi kuhitimisha jambo kwa kufuata propaganda, ushabiki au kutetea kwa mrengo fulani.

Naitetea sayanasi na utafiti ktk kufikia hitimisho, ndio maana mwisho nimekwambia unachokisema ni Hypothetical na nashukuru umekubali hilo
 
Back
Top Bottom