Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Hii fluoride ina kitu gani mpaka Trump anataka kuipiga marufuku?

Na hawakutumia dawa za meno,so that theory is fallacy
Hujasoma Ukaelewa Umesoma Ili Ujibu Theory haijajikita Kuzungumzia Swala zima la Bibi yako au Bibi wa Yoyote Yule na matumizi ya Fluoride..

Theory inaonyesha Matumizi ya Fluoride na Athari zake..
Soma Kila posts Nilizoandika kuanzia mwanzo
 
Nimesoma mpaka mwisho,hilo la kuathiri ukuaji huenda kweli,lakini bibi yangu aliolewa akiwa na miaka 14,1947,maana yake alionesha dalili zote za kuwa kapevuka,mwaka mmoja baadae alijifungua,hakuwa mtumiaji wa dawa za meno zenye fluoride
Miaka 14 umri wa kawaida msichana kupevuka(kuvunja ungo/balehe ya kike).
 
Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..

Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..

Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...

Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?

Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..

Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...

Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..

Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..

Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..

Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa

na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....

Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..

So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
Andiko la kisomi sana yani ki professional
 
Hahaaa waulize watu wa chuga, na baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa(shinyanga, simiyu n.k) na zile kutu zao mdomoni, akicheka anafunika mdomo.
Kutu zingine ni mapambo zinawapendeza sana baadhi.
Ukute msura swafi af meno rangi mchanganyiko ya shaba na white cement, inaleta morali ku romance naye.
Umenikumbusha mbali.
 
For those interested in the Floridation issue, please go through the following link.It gives 50 reasons why water floridation is a bad idea,and to me tantamount to genocide..
 
Correct 100%.Sasa my question is,kwa nini madaktari hawasimami against this evil practice,ni collaborators au wanaogopa kusema,kwa kuwa wahusika wakuu wa hii genocide ndio wanaoiongoza Dunia?
Madaktari wengi hata wao wenyewe HAWAELEWI.
 
Ondoa upuuzi wako, hakuna depopulation duniani, kila siku duniani watu wanaongezeka na watazidi kuongezeka kwa miaka mingi sana ijayo.
Hakuna depopulation Bali Kuna population control, mueleweshe na mwenzio
 
Watu wengi sana bongo hawatumii dawa za mswaki, wana maji yasiyo na fluoride lakini wana haya matatizo yako yote.
Conspiracies tu.
Na wengi wetu IQ zetu ni hafifu mno, nadhani Lead pipes zinamadhara zaidi ambako ndio Maji ya kunywa yanapopita.
 
Correct 100%.Sasa my question is,kwa nini madaktari hawasimami against this evil practice,ni collaborators au wanaogopa kusema,kwa kuwa wahusika wakuu wa hii genocide ndio wanaoiongoza Dunia?
Pharmaceutical industry aka big pharma ,hawa ndio terrorists wenyewe sasa ,kuwagusa tu wanakupoteza au kuruin career yako na kulkuharibu kabisa kimaisha , huko Marekani na kwingineko duniani wanaogopwa na watu hawajui kwamba hizi biological and medical research nyingi wao ndio wafadhili ,na kama wewe ni researcher lazima ulambe miguu yao ,yaani scientific findings za hiyo research usiende kinyume na kucriticize products zao , research ni expensive na research ambazo zimefanywa na independent researchers wanaokuja na proofs za madhara ya products za haya makampuni ,wanatumia vyombo vya habari , serikali , regulations bodies na taasisi za kitaaluma kudemonize findings za hawa watu na kuzikosoa kwamba ni wrong !.
Kuna umafia sana unafanyika na haya makampuni makubwa na si mara ya kwanza ,
Hata hizi sumu zinazotumika kwenye mashamba kuua wadudu ,kampuni kama Monsanto ,Bayer nk , Wana products ambazo ni sumu sana na hazifai hata kutumika kwenye kupulizia mimea kwa sababu toxicity take ni mbaya kwa anayepulizia na hata hicho chakula ile sumu haiondoki
Washenzi hawa Monsanto ndio waliokuwa wanapinga kuondoshwa na kupigwa marufuku kwa sumu ya DDT ,nadhani wengi mtakuwa mnakumbuka ,ile sumu ilikuwa mbaya mno mashambani ,majumbani nk imetumika miaka mingi duniani na kuna watu walishafanya tafiti na kugundua hilo miaka mingi ila Pharmaceutical industries wakawa wanafanya figisu hilo lisifanikiwe ,huo ni mfano tu
Mpaka leo kuna misururu ya kesi za madai ya fidia kwa watu ambao wamepata cancers na madhara mengine ya kiafya kwa hizo sumu .
 
Back
Top Bottom