Hujui kitu mkuu tafuta na soma hiki kitabu ,kuna testimonies humo za wataalamu wenyewe , madkatari ,neuroscientists ,toxicologists na researchers manguli WA hayo mambo ambao wamestudy Fluoride na effects zake kwa miaka mingi na kuja na hizo conclusions wewe unapinga nini ?Enzi za pharmaceutical industry au big pharma lifespan ya binadamu ndio imeongezeka zaidi, kwenye nchi zenye big pharma wastani wa maisha ni takribani miaka 80, huku ambako bado tunategemea waganga wa kienyeji zaidi na mitishamba wastani ni takribani miaka 60.
Penda kusoma na kujielimisha ,nishakwambia kwamba medical research nyingi zinazokuwa sponsored na hawabug pharma no control damage na means ya kuwaziba watu midomo na kupindisha ukweli wa mambo , ni hawa hawa ndio waliokuwa wanatoa research mshenzi za kutetea sumu ya DDT iendelee kuwa kwenye soko ,sumu ambayo imesababisha health damages Kwa miaka mingi huko nyumaKuna scientific studies/tafiti nyingi zaidi kuthibitisha Flouride ni muhimu kwa meno ya binadamu.
Hahaaa waulize watu wa chuga, na baadhi ya maeneo ya kanda ya ziwa(shinyanga, simiyu n.k) na zile kutu zao mdomoni, akicheka anafunika mdomo.
Slow killing poison u die while smiling 🥲..
Dawa Gani Unatumia?Dawa ninayoitumia nimeangalie kwenye Ingredients hakuna fluoride na nilivyogugo ikaonyesha kampuni ninayotumia inatengeneza dawa zake kiasili bila hizo kemikali je , ni kweli au wananipanga tu ?
Huyo Hata Umpe Kitabu Bado atakupinga tu ametawaliwa na mawazo ya Kupinga bila Kujielimisha kwanzaHujui kitu mkuu tafuta na soma hiki kitabu ,kuna testimonies humo za wataalamu wenyewe , madkatari ,neuroscientists ,toxicologists na researchers manguli WA hayo mambo ambao wamestudy Fluoride na effects zake kwa miaka mingi na kuja na hizo conclusions wewe unapinga nini ?
Soma hiki kitabu kinaitwa Fluoride deception
Kuna vitabu vingi sana duniani vya conspiracies na ujinga. Kuna mamia ya vitabu ya flat earthers/ dunia tambarare, anti-vaxxers na anti-money.Hujui kitu mkuu tafuta na soma hiki kitabu ,kuna testimonies humo za wataalamu wenyewe , madkatari ,neuroscientists ,toxicologists na researchers manguli WA hayo mambo ambao wamestudy Fluoride na effects zake kwa miaka mingi na kuja na hizo conclusions wewe unapinga nini ?
Soma hiki kitabu kinaitwa Fluoride deception
Lengo ni kuwafanya watu kuwa misukule , inaaminika kwa muda mrefu kwamba watu ambao wameathirika na hii sumu ya Fluoride ni ngumu kuresist tyranny , kiufupi hawa manyapara tunaowaita viongozi ,wapo ili kufullfill wishes za masters wao so inafanyika ili kufanya population kuwa docile mithiri ya misukule ,Pia inaathiri jicho la tatu kwa wale wa meditation wanaelewa.
Hizi ni conspiracy theories au ?....Fluoride Tukiacha Vile tulivyokuwa Tunaambiwa na Kusoma kuwa inaprevent Tooth decay, Na Pia wanassma Inareduce inaquality kwenye Dental. Au Oral Health..
Deep Down Ukiangalia Tangu tumeanza Kupewa fluoride kwenye Maji (Maana Dunia Nzima Tunatandikwa Fluoridation ya Kutosha)..
Usipoikuta kwenye Dawa za Meno bhasi utaikuta Kwenye Maji l..
Bado kumekuwa na Ongezeko la Dental Decay(Caries) inequality ya Oral Health imezidi Kuongezeka Tofauti na Zamani so nakubaliana Na Weww Kabisa Ni kweli tumefanyiwa Un Necessary fluoridation au Kwao Ilikuwa Intentionally?...
Jibu ni Kuwa Ilikuwa Intentionally..
Kwanini?
Nitayaongea kama Ifundishwavyo Spiritually
Utambuzi wa Binadamu Spiritually Unatokana na Activation ya Penial gland ambayo ndyo huwa Inakupa kujua Vitu vyote asili yako na hata Ukweli kabla ya kuujua..
Ukifanikiwa Kuactivate pineal Gland (JiCHO LA TATU) Hutaweza kudanganywa na Kitu kwa Sababu ndo connection ya Maarifa yaani Spiritual World na This world...
Mbaya Zaidi ni kwamba Utambuzi wa Binadamu Spiritually Ni Tishio Kubwa sana, Upande wa Utii Politically na Pia Utii Religiouslly..
Binadamu Akijitambua yeye Ni nani hataweza kunyenyekea Binadamu mwingine wala kukubali Kuongozwa na Mwingine na Pia hata Kubali Kuongozwa na Idea ya Watu wengine Kuhusu Dini au Idea za Kisiasa..
Na Hapo ndo Huja Deactivation Of Pineal gland Even before Pro active State..
Unaanza Kunywa Maji Yalio na Fluoride na Kutumia Dawa ya Meno (Mswaki) yenye Flouride..
Kama Utakuwa Unajua Utajua kuwa Fluoride inaweza Kwenda Coat kwenye Pineal gland na Kusababisha Fluoride accumulation which Inturn Inasababisha Melatonin deficiency ambayo inamfanya Mtu awe Ni vigumu kuweza Kufikiri (Meditate) ipasavyo na Kutokuwaza Zaidi ya Kile alichowaza na Kutokuwaza Nje ya Box na Kuishia Kuzidi kutawaliwa..
Na mara nyingi inaweza kusababisha Pineal gland toxicity..potential links to other health issues such as thyroid problems, lower IQ in children, and bone fractures. However, research in these areas remains controversial na Nyingi ziko chini ya CDC na WHO so ndo wanaoweza kuzitoa.ila kwangu Mimi Mdomo Komaaaa
na ndo maana Matoto mengi sana Siku hizi yanazeeka kuliko Umri wao kuna studies zingine zimefanywa kwa animals showed that fluoride accumulation in the pineal gland led to reduced melatonin production and an earlier onset of puberty....
Unakuta Toto lina miaka 13 lakini Limeshamaliza dalili zote za Kuvunja Ungo..
So kama kaamua Hivyo atakuwa amesaidia Dunia Pakubwa sana..
Japo atakumbana na Pingamizi kubwa sana
Naomba usome humo ,hii sio conspiracy .Hizi ni independent scientific researches zimefanyika kabisa na real scientists na researchers WA muda mrefu ,acha ujingaKuna vitabu vingi sana duniani vya conspiracies na ujinga. Kuna mamia ya vitabu ya flat earthers/ dunia tambarare, anti-vaxxers na anti-money.
Hapana MkuuHizi ni conspiracy theories au ?....
Sababu ilikua nini kwenye hiyo study kuhusu kuongezeka kwa magonjwa ya kinywa na meno?🤣🤣🤣🤣
Hakukuwa na Hicho kipengele cha Watanzania wanaotumia Dawa ya Mswaki na wala hakukuwa na Kipengele cha wasiotumia,..Ila Mimi ninafnya sana studies na Nakumbuka Mwaka Fulani tulifanya Study nikiwa Associated Kwenye Study Fulani hivi kuhusu Kuongezeka kwa Magonjwa ya Kinywa na Meno nchini..
Na Niligundua Asilimia Kubwa ya Watanzania Hutumia Whitedent ikufuatiwa na Colgate na Kufuatiwa na dawa zingine..
Na Asilimia Chache Sana wanatumia Mkaa na Majivu..
Na percent unayotaja ya Mkaa na Majivu Iko Chini ya 20%
Manyapara tunaowaita viongozi wanatumia maji gani na dawa zipi za mswaki??Lengo ni kuwafanya watu kuwa misukule , inaaminika kwa muda mrefu kwamba watu ambao wameathirika na hii sumu ya Fluoride ni ngumu kuresist tyranny , kiufupi hawa manyapara tunaowaita viongozi ,wapo ili kufullfill wishes za masters wao so inafanyika ili kufanya population kuwa docile mithiri ya misukule ,
Ni ajabu kwa mtu mwenye akili timamu na ambaye pineal gland haijawa toxified kukubali kuongozwa na vilaza kama hawa ccm wa hapa ,something fishy is going on .
Ni kama ile tabia ya kuweka mafuta ya taa kwenye chakula cha wanafunzi wa bweni au wafungwa ili kudhibiti hisia na hamu za ngono .